G.com Member Joined Sep 9, 2011 Posts 21 Reaction score 5 Nov 19, 2013 #1 We una degree unachagua kazi? Kipimajoto kna degree nying knafanya kazi kwapani..
H Howt Lady JF-Expert Member Joined Jul 15, 2013 Posts 1,518 Reaction score 471 Nov 20, 2013 #2 Hahaha,,,,,,!!!!!!!
M mockers JF-Expert Member Joined Nov 19, 2013 Posts 12,853 Reaction score 35,615 Nov 20, 2013 #3 hilo nalo neno!!!! lkn graduates wengi wanakua na ulema wa akili kuhusu ajira
kb52 JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 336 Reaction score 110 Nov 20, 2013 #4 Unaweza kubeba tofali?..nina kampuni ya kufyatua tofali. Kazi ni kubeba, kumwagilia,kushusha na kufyatua matofali. Kwasiku sh.3000 hadi sh.5000
Unaweza kubeba tofali?..nina kampuni ya kufyatua tofali. Kazi ni kubeba, kumwagilia,kushusha na kufyatua matofali. Kwasiku sh.3000 hadi sh.5000
Chivundu Platinum Member Joined Dec 17, 2012 Posts 13,055 Reaction score 26,195 Nov 20, 2013 #5 Elimu hailipi,hali ni mbaya sana,yan graduate akafyatue tofali!!
Mwakabizzle Member Joined Jun 10, 2011 Posts 29 Reaction score 2 Nov 20, 2013 #6 G.com said: We una degree unachagua kazi? Kipimajoto kna degree nying knafanya kazi kwapani.. Click to expand... ha ha ha ha ha aaaaa....! yaan sikuwa mpango wa ku-log in wakati napitia hii page lakini hii post imwenifanya ni-log in 2 kwa kweli...., kuna watu wana vituko sana humu ndani aisee!
G.com said: We una degree unachagua kazi? Kipimajoto kna degree nying knafanya kazi kwapani.. Click to expand... ha ha ha ha ha aaaaa....! yaan sikuwa mpango wa ku-log in wakati napitia hii page lakini hii post imwenifanya ni-log in 2 kwa kweli...., kuna watu wana vituko sana humu ndani aisee!
serio JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 7,354 Reaction score 4,771 Nov 20, 2013 #7 Heheheheeee... Haya bwana