T TUSAJIGWEGE Member Joined Jan 26, 2013 Posts 14 Reaction score 2 Aug 11, 2013 #1 Nacikia utumishi wametangaza kazi tena mwezi huu wa august.je ni kweli?
J JAK Member Joined Apr 23, 2012 Posts 92 Reaction score 21 Aug 11, 2013 #2 TUSAJIGWEGE said: Nacikia utumishi wametangaza kazi tena mwezi huu wa august.je ni kweli? Click to expand... Ni kweli, cheki kwenye website yao, ni za tarehe 6, zaidi ya 300.
TUSAJIGWEGE said: Nacikia utumishi wametangaza kazi tena mwezi huu wa august.je ni kweli? Click to expand... Ni kweli, cheki kwenye website yao, ni za tarehe 6, zaidi ya 300.
Blessed Keinerugaba JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 4,789 Reaction score 4,820 Aug 11, 2013 #3 Sasa mda huu wa kuanzisha uzi si ungeenda kwa tovuti yao moja kwa moja,PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS
Sasa mda huu wa kuanzisha uzi si ungeenda kwa tovuti yao moja kwa moja,PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS