c nilisema utazuga tu we jifanye hamnazo lkn ipo siku utaongea tu hata kwa bakora utasema tu. angalao ya wananchi inaheshimika kuliko yenu hata chooni haitakiwi.. ptuuuuu
Ha ha ha ha Mwalla aka 4REAL naona ndo umetoka Buguruni kupokea jerojero zako na hii mvua teh teh teh njaa zitakuua katiba mpya haizuliki hata ukibana hiyo miguu utaachia tu
View attachment 250978ha ha ha ha mwalla aka 4real naona ndo umetoka buguruni kupokea jerojero zako na hii mvua teh teh teh njaa zitakuua katiba mpya haizuliki hata ukibana hiyo miguu utaachia tuView attachment 250982
wenye akili zao timamu wamejitambua na wameona kweli ipo wapi..
Wewe bakia hukohuko ili tukianza tunanza na wewe kukufagia mpaka baharini View attachment 250999
WEee mzembe tu unajifanya kujiangalia kwenye kioo afu unasahau jinsi ulivyo na baada ya dakika 2 unarudi tena angalia wenzio hapa usijifanye hamnazo ha ha ha ha
Bendera ya ushindi anavalishwa dog teh teh tulia ulijiona mjanja kupost mapichapicha yako ukadhani wenzio hawana teh teh teh teh chukua hiyo nyingine za vibaraka wenzio waliojifanya wanajua kupigania jerojero za Buguruni