Amon Mpanju, mbona unajidhalilisha kiasi hicho! We umekuwa na weledi kushinda wajumbe wa tume ya Jaji Waryoba. Kwa taarifa yako hata sisi watu wenye ulemavu tunakushangaa na kukusitikia. Umelishwa maharage gani?
Kala maharage mpaka nasikia imemwadhiri macho.
Huyu Amon anaendeshwa kwa remote na ndio maana haishi kuonekana ktk korido za kinondoni bomani
Hujafa hujaumbika wewe kiazi, kwani unadhani kapenda, hayo maharage alimpa baba yako, matako weeeKala maharage mpaka nasikia imemwadhiri macho.
Weka picha yake japo moja tu akiwa Kinondoni kwenye korido si umesema haishi kuonekana pale hata leo umemuona tupia hapa tuone!
Hujafa hujaumbika wewe deki la Ukawa, hunaga akili wewe nahc una matatizo ya kiakili ndo maana hoja zako zote ulizowahi kuweka tangu uuanze humu jf ni upuuzi mtupu, hujui kuweka hoja, umejawa matuc, na unatumika kama vocha wewe.nadhani huyu kipofu mchumia tumbo utakuwa ni wewe
nadhani huyu kipofu mchumia tumbo utakuwa ni wewe
Mwalla, ukipofu si dhambi, mawazo yako ndiyo dhambi ambayo unaweza kujichumia kwa kudharau wenye ulemavu. Hawakupenda kuwa hivyo! imetokea kwao kama binadamu hali hiyo inaweza kumpata mtu yeyote. Hivyo Kaziya Mungu haina makosa. Katiba Inayopendekezwa imewajali na naamini itaendelea kuwapa na kusimamia haki za malkundi mbalimbali nchini.
soma vizuri msg yangu wapi nimesema upofu ni dhambi
Hujafa hujaumbika wewe deki la Ukawa, hunaga akili wewe nahc una matatizo ya kiakili ndo maana hoja zako zote ulizowahi kuweka tangu uuanze humu jf ni upuuzi mtupu, hujui kuweka hoja, umejawa matuc, na unatumika kama vocha wewe.
utabadili sana ID lkn wewe ni ZUMBUKUKU ZOMBI MTUMISHI WA LUMUMBA TEAM na hutamdanganya mwananchi yoyote kwa UZOMBI wako na fisadi wenu MAKENGEZAMwalla, ukipofu si dhambi, mawazo yako ndiyo dhambi ambayo unaweza kujichumia kwa kudharau wenye ulemavu. Hawakupenda kuwa hivyo! imetokea kwao kama binadamu hali hiyo inaweza kumpata mtu yeyote. Hivyo Kazi ya Mungu haina makosa. Katiba Inayopendekezwa imewajali na naamini itaendelea kuwapa na kusimamia haki zao na makundi mengine mbalimbali nchini.
utabadili sana ID lkn wewe ni ZUMBUKUKU ZOMBI MTUMISHI WA LUMUMBA TEAM na hutamdanganya mwananchi yoyote kwa UZOMBI wako na fisadi wenu MAKENGEZA
Huyu Amon ni kupuuzia alivyo mpuuzi
utabadili sana ID lkn wewe ni ZUMBUKUKU ZOMBI MTUMISHI WA LUMUMBA TEAM na hutamdanganya mwananchi yoyote kwa UZOMBI wako na fisadi wenu MAKENGEZA
Dhamiri hai siku zote inasema ukweli daima. Ongozwa na dhamiri iliyonjema na ung'amue mambo kwa wema na weledi ili uweze kusimamia ukweli. Ukiona huna hoja unaanza kusema ID. Id ni nini? cha msingi hapa ni hoja. Haya unaposema wachangiaji ni watumishi wa Lumumba, wewe ni mtumishi wa nani na wa wapi? tuambie!
Siyo sawa Emma, usimpuuze mtu, mheshimu ili nawe uheshimiwe. Ndiyo maana Tanzania ni nchi inayoheshimu na kuzingatia misingi ya utu na udugu, uhuru, kujitegemea, haki, usawa, amani na utulivu, umoja na mshikamano katika nyanja zote za maisha yetu ya kila siku.
Post yako nadhani inafanana na uwezo wako wa kufikiri....inaelekea humjui Amon Mpanju vizuri na hujui ana nafasi Gani kwa walemavu nchini....usitake kuchonganisha hili kundi na viongozi wake.....watu wenye ulemavu wamefanya jitihada sana ndani ya bunge maalum la katiba kuhakikisha wanatambulika rasmi na kupinga rasmi unyanyapaaji,,,,,Mpanju amekuwa akialikwa kwenye makongamano mengi sana yanayoandaliwa na WAtu wenye. Ulemavu na washirika wake.....tumemuona Morogoro, Dar.....na sehemu nyingine nyingi tuu.....na amekuwa akipata support kubwa sana kutoka kwa watu wenye ulemavu.......Naingiwa na wasiwai wewe uliyepost hii kitu ni mmoja ya watu wenye kuua albino....hivyo unaona utabanwa hence unataka kushawishi watu kwa ujinga na akili ndogo zilizo kichwani kwako bila kutambua unapata dhambi....WE NI SADIST unayependa kuona watu wenye ulemavu wanaendelea kuteseka kwa maslah yako binafsi...Nampongeza MWENYEKITI WA SHIVYAWATA Bw. AMON MPANJU kwa jitihada za kupigania haki za walemavu ndani na nje ya bunge maalum la katiba.........
Siku zote unamheshimu mwenye heshima pekee yako.
wasakatonge
TEAM LUMUMBA ON DUTY Buku7 inatesa:A S-rap: