Wana jf
Kwa wote mnaofatilia bunge la katiba pamoja na mijadala iliyojitokeza haya mawili tu yanatosha kuwaangusha ccm mda si mrefu
1. MAHAKAMA YA KADHI
Hili swala limeisha waangusha ccm japo halijaonekana wazi lakini ukweli ni kwamba limeisha wagawa ccm (tayari) na hawawezi kukiruka kiunzi hiki
2.UKOMO WA UBUNGE kama ccm wakijiloga wenyewe wakaondoa ukomo wa ubunge. Hili ni kaburi tosha kwa ccm wananchi wameisha choka na wabunge wao na kitendo cha kutokuwa na ukomo angalau hata miaka 20. Wananchi hakika hawawezi kuvumilia na utakuwa ni ubabe wa hali juu..
nakubaliana na wewe 100%wana jf
kwa wote mnaofatilia bunge la katiba pamoja na mijadala iliyojitokeza haya mawili tu yanatosha kuwaangusha ccm mda si mrefu
1. Mahakama ya kadhi
hili swala limeisha waangusha ccm japo halijaonekana wazi lakini ukweli ni kwamba limeisha wagawa ccm (tayari) na hawawezi kukiruka kiunzi hiki
2.ukomo wa ubunge kama ccm wakijiloga wenyewe wakaondoa ukomo wa ubunge. Hili ni kaburi tosha kwa ccm wananchi wameisha choka na wabunge wao na kitendo cha kutokuwa na ukomo angalau hata miaka 20. Wananchi hakika hawawezi kuvumilia na utakuwa ni ubabe wa hali juu..
Eee, Mungu utuepushie vita, ccm imeamua kuondoa umoja wetu na wanaanza kuleta mambo ya udini ili kutugawa, wakristo na waislamu tuwe makini ili kuhakikisha jambo hili halitokei. Ameeni.Wana jf
Kwa wote mnaofatilia bunge la katiba pamoja na mijadala iliyojitokeza haya mawili tu yanatosha kuwaangusha ccm mda si mrefu
1. MAHAKAMA YA KADHI
Hili swala limeisha waangusha ccm japo halijaonekana wazi lakini ukweli ni kwamba limeisha wagawa ccm (tayari) na hawawezi kukiruka kiunzi hiki
2.UKOMO WA UBUNGE kama ccm wakijiloga wenyewe wakaondoa ukomo wa ubunge. Hili ni kaburi tosha kwa ccm wananchi wameisha choka na wabunge wao na kitendo cha kutokuwa na ukomo angalau hata miaka 20. Wananchi hakika hawawezi kuvumilia na utakuwa ni ubabe wa hali juu..
Wana jf
Kwa wote mnaofatilia bunge la katiba pamoja na mijadala iliyojitokeza haya mawili tu yanatosha kuwaangusha ccm mda si mrefu
1. MAHAKAMA YA KADHI
Hili swala limeisha waangusha ccm japo halijaonekana wazi lakini ukweli ni kwamba limeisha wagawa ccm (tayari) na hawawezi kukiruka kiunzi hiki
2.UKOMO WA UBUNGE kama ccm wakijiloga wenyewe wakaondoa ukomo wa ubunge. Hili ni kaburi tosha kwa ccm wananchi wameisha choka na wabunge wao na kitendo cha kutokuwa na ukomo angalau hata miaka 20. Wananchi hakika hawawezi kuvumilia na utakuwa ni ubabe wa hali juu..
Well said mkuu, mm nashangaa ivi hawa wenzetu wanashindwaje kushughulikia mambo yao ya kidini mpaka selikali iwasaidie? Nawakumbusha tu kuwa inchi hii haina dini nyerere alishasema na rasimu ya katiba imependekeza hivyo. Kuaanza kuleta tena mambo haya ni kujiingiza kwenye migogoro isiyo ya lazima. Naomba niwambie kuwa swala la mahakama ya kadhi hata waote vip halitakaa likubalike kamwe kama hawaamini basi wasubiri. Wamekosa ajira za kupambana sasa wanataka wapate ajira za bure eti wawe mahakimu wa qurani, acheni umburura someni elimu dunia muajiriwe wapuuzi ninyi!!!!!!!!!!!!!