hii nchi ni zaidi ya katiba ukosefu wa elimu na ubora wa elimu inayopatikana kwa wananchi wengi na watoto wao hauwajengi katika fikra za kujitegemea,kujitambua wajibu wao kama wananchi,kuitambua thamani yao na kutambua ni wapi wametoka,wapi walipo, na wapi wanataka kwenda.
asilimia 80 ya wananchi wa hii nchi hata ukiwauliza malengo ya maisha yao ni wachache watakujibu. Jaribu kuuliza sasa hivi watu 10 walipokuwa watoto walitamani kuwa watu wa aina gani walitaka wafanye kazi gani? ukipata wanaoishi ndoto zao leo katika kumi sizani hata kama 3 wanafika. Elimu bora inatakiwa sio Elimu tu bali Elimu bora.
Ni kweli katiba mpya ndo itatutoa hapa tulipo ?
Jibu: Ndio ni kweli
Je mchakato mzima wa kuipata katiba mpya utakuwa huru wa haki na kila mwananchi atashiriki
jibu: Hapana
Kwenye mchakato wa katiba mmeona kilichotokea sote tu mashaidi namna CCM ilivyoubaka ule mchakato.
kama Leo watanzania wanaiamini CCM je watashindwa kuipigia kura katiba ambayo CCM itawashawishi waipe kura ya ndio au hapana.
Elimu bora inatakiwa. ukiwa na Taifa ambalo katika jimbo la watu 50000 watu 3000 wanaharibu kura ujue kazi si ndogo. watu 3000 waliamka wakaacha makazi yao, wakajipanga mstari kwenye mchakato wa kujiandikisha kwenye daftari tena kukiwa na misururu mirefu wakavumila hadi wakapata kadi za kura, ikafika siku ya kupiga kura wakaacha makaI yao, wakaacha shughuli zao,wakapanga mstari , alafu wakapiga kura ambazo zimeharibika watu 3000 hii inasikitisha ni zaidi ya msiba
Umesema vema, lakini hata katiba pendekezwa ya CCM mliyoisusia ninyi UKAWA ilikuwa na unafuu kwenye masuala ya uchaguzi kuliko hii ya sasa iliyotumika. Bora mngeikubali kwanza hii pendekezwa kisha mngejua nini chakufanya mkishafika Ikulu (win-win, lose-lose) badala ya lose-win mliyoichagua UKAWA.hii nchi ni zaidi ya katiba ukosefu wa elimu na ubora wa elimu inayopatikana kwa wananchi wengi na watoto wao hauwajengi katika fikra za kujitegemea,kujitambua wajibu wao kama wananchi,kuitambua thamani yao na kutambua ni wapi wametoka,wapi walipo, na wapi wanataka kwenda.
asilimia 80 ya wananchi wa hii nchi hata ukiwauliza malengo ya maisha yao ni wachache watakujibu. Jaribu kuuliza sasa hivi watu 10 walipokuwa watoto walitamani kuwa watu wa aina gani walitaka wafanye kazi gani? ukipata wanaoishi ndoto zao leo katika kumi sizani hata kama 3 wanafika. Elimu bora inatakiwa sio Elimu tu bali Elimu bora.
Ni kweli katiba mpya ndo itatutoa hapa tulipo ?
Jibu: Ndio ni kweli
Je mchakato mzima wa kuipata katiba mpya utakuwa huru wa haki na kila mwananchi atashiriki
jibu: Hapana
Kwenye mchakato wa katiba mmeona kilichotokea sote tu mashaidi namna CCM ilivyoubaka ule mchakato.
kama Leo watanzania wanaiamini CCM je watashindwa kuipigia kura katiba ambayo CCM itawashawishi waipe kura ya ndio au hapana.
Elimu bora inatakiwa. ukiwa na Taifa ambalo katika jimbo la watu 50000 watu 3000 wanaharibu kura ujue kazi si ndogo. watu 3000 waliamka wakaacha makazi yao, wakajipanga mstari kwenye mchakato wa kujiandikisha kwenye daftari tena kukiwa na misururu mirefu wakavumila hadi wakapata kadi za kura, ikafika siku ya kupiga kura wakaacha makaI yao, wakaacha shughuli zao,wakapanga mstari , alafu wakapiga kura ambazo zimeharibika watu 3000 hii inasikitisha ni zaidi ya msiba
Umesema vema, lakini hata katiba pendekezwa ya CCM mliyoisusia ninyi UKAWA ilikuwa na unafuu kwenye masuala ya uchaguzi kuliko hii ya sasa iliyotumika. Bora mngeikubali kwanza hii pendekezwa kisha mngejua nini chakufanya mkishafika Ikulu (win-win, lose-lose) badala ya lose-win mliyoichagua UKAWA.