Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,952 Reaction score 56,153 Feb 17, 2025 #21 Marekani fursa ni nyingi
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 42,930 Reaction score 103,301 Feb 17, 2025 #22 Nimeshiba sana said: Daaah hadi mikoan wapo hawa jamaa Click to expand... Ndo wenye madubwi ya kamari
Nimeshiba sana said: Daaah hadi mikoan wapo hawa jamaa Click to expand... Ndo wenye madubwi ya kamari
X Xi Jinping JF-Expert Member Joined Jun 14, 2023 Posts 9,542 Reaction score 28,802 Feb 17, 2025 #23 Yoda said: Huwezi kwenda ukapata kazi au biashara ya maana China, Marekani ina fursa nyingi za kazi unazoweza kufanya nchini mwao. Pia suala lingine sio rahisi mbongo kuishi kwenye utamaduni wa China. Mengine muulize Xi Jinping Click to expand... China kuna fursa kubwa ya kupata bidhaa za kila aina kwa bei nafuu na kuleta Tanzania kufanya biashara
Yoda said: Huwezi kwenda ukapata kazi au biashara ya maana China, Marekani ina fursa nyingi za kazi unazoweza kufanya nchini mwao. Pia suala lingine sio rahisi mbongo kuishi kwenye utamaduni wa China. Mengine muulize Xi Jinping Click to expand... China kuna fursa kubwa ya kupata bidhaa za kila aina kwa bei nafuu na kuleta Tanzania kufanya biashara
X Xi Jinping JF-Expert Member Joined Jun 14, 2023 Posts 9,542 Reaction score 28,802 Feb 17, 2025 #24 Makorokoro Bondeni said: kibiashara China ndiyo mpango mzima. Click to expand... Umesema vyema
Infropreneur JF-Expert Member Joined Aug 15, 2022 Posts 14,555 Reaction score 31,603 Feb 17, 2025 #25 China walala hoi hao. Tena usirudie kulinganisha USA na China. Unaishusha hadhi USA. USA ni Dunia. Hailinganishwi wala kufananishwa na nchi yeyote ile.
China walala hoi hao. Tena usirudie kulinganisha USA na China. Unaishusha hadhi USA. USA ni Dunia. Hailinganishwi wala kufananishwa na nchi yeyote ile.
Infropreneur JF-Expert Member Joined Aug 15, 2022 Posts 14,555 Reaction score 31,603 Feb 17, 2025 #26 Achielogist said: U.S.A husi ilinganishe na upuuzi Click to expand... Kabisa mkuu. Mapato ya jimbo moja la California tu yanatosha kulisha nchi nzima ya Tanzania. Kwanza hao China wasakatonge tu. Hadi wenyewe wanakimbilia USA.
Achielogist said: U.S.A husi ilinganishe na upuuzi Click to expand... Kabisa mkuu. Mapato ya jimbo moja la California tu yanatosha kulisha nchi nzima ya Tanzania. Kwanza hao China wasakatonge tu. Hadi wenyewe wanakimbilia USA.
PathwayzZote Member Joined Jul 4, 2024 Posts 78 Reaction score 102 Feb 18, 2025 Thread starter #27 Infropreneur said: China walala hoi hao. Tena usirudie kulinganisha USA na China. Unaishusha hadhi USA. USA ni Dunia. Hailinganishwi wala kufananishwa na nchi yeyote ile. Click to expand... Sema ni kweli asee China kule sio kwa fursa Wachina wamejazana bonho kuuza kahawa Ila kwa bidhaa bei chee za kuuza bongo ndo unyama
Infropreneur said: China walala hoi hao. Tena usirudie kulinganisha USA na China. Unaishusha hadhi USA. USA ni Dunia. Hailinganishwi wala kufananishwa na nchi yeyote ile. Click to expand... Sema ni kweli asee China kule sio kwa fursa Wachina wamejazana bonho kuuza kahawa Ila kwa bidhaa bei chee za kuuza bongo ndo unyama
MK254 JF-Expert Member Joined May 11, 2013 Posts 33,575 Reaction score 53,613 Feb 18, 2025 #28 Bora Marekani mara mia, nenda China uone wananchi wa kawaida walivyo hoi.
M Mwangazza JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 34,146 Reaction score 51,762 Feb 18, 2025 #29 Shadow7 said: Marekani fursa ni nyingi Click to expand... China huwa hakuna fursa ya kusaidia wazee?
PathwayzZote Member Joined Jul 4, 2024 Posts 78 Reaction score 102 Feb 19, 2025 Thread starter #30 MK254 said: Bora Marekani mara mia, nenda China uone wananchi wa kawaida walivyo hoi. Click to expand... Duuh atare
MK254 said: Bora Marekani mara mia, nenda China uone wananchi wa kawaida walivyo hoi. Click to expand... Duuh atare