Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,394
Kumbe ni sukari sio asali!!Mahitaji ya ksahata za ufuta ni
Ufuta
Sukari
Mchakato ni uho uho ila karanga ni lazima uzikaange kwanza ila izo lazima uwe na kibao cha chapati unakuwa unakata kutokana na size unayo takaKumbe ni sukari sio asali!!
Hamna namna tunaweza kutumia asali kwa ajili ya afya?
Halafu kuna ambazo zina karanga, wanawekaje?
kwahiyo sukari ni lazima?Mchakato ni uho uho ila karanga ni lazima uzikaange kwanza ila izo lazima uwe na kibao cha chapati unakuwa unakata kutokana na size unayo taka
Ndio sijawai tumia asalikwahiyo sukari ni lazima?
Pole nje ya mada, lakini tutafanyaje sasaHope mko poa
mshamba_hachekwi aliomba nipike kashata so leo morng nikaenda mjini nikatafute mahitaj yangu nikaona ufuta nikakumbuka
Wakati nanunua vitu bhna si nikakutana na wamasai wakanilazimisha kununu roshoro nikasema sijawai kunywa ah nikaona isiwe kesi nikachukua nilishindwa nikaomba sukari muuzaji ananicheka ila sikumaliza muda haukua rafiki
View attachment 3237073
Mahitaji ya ksahata za ufuta ni
Ufuta
Sukari
Mahitaji ya bisi
Maindi ya bis
Chumvi
Mafuta
Kwanza anza kuosha ufuta wako vizuri tu
View attachment 3237074Baada ya hapo nikaubabua yaani kuunga ili maji yakauke mda wa kuanika sikuwa nao wengine hawausafishi
View attachment 3237076
Baada ya hapo chukua sukari weka. Kwenye sufuria yako hakikisha haina maji
View attachment 3237077
Mpaka ukiona imekuwa urojo tu kama hivi moto weka mdogo kama hivi
View attachment 3237078
Baada ya hapo weka ufuta wako kidogo kidogo
Baafa ya hapo ipua ipoe ukiona ishaanza kupoa anza kutengeneza duala kama hivi
View attachment 3237079Baada ya hapo weka kwenye hewa ili zishike vizuri kama hivi
View attachment 3237081
Tuje kwenye bisi
Weka mafuta kwenye sufuria na maindi yako special ya bisi na chumvi
View attachment 3237082
Baada ya hapo weka moto mdogo funika mimi nilikuwa natafuta mfuniko nikakosa nikaamua nifunike na sufiria
View attachment 3237084
Baada ya dakika moja zinakuwa teyari ukizidisha utaunguza
View attachment 3237085
Hivyo vyote nimetumia 3000 kijana unaweza uza ukapata na faida ukapata pesa ya vocha
Ahaha au sioPole nje ya mada, lakini tutafanyaje sasa
View: https://youtube.com/shorts/pC-fjd7pKBw?si=Vcu6kTrjXdT690gD
Vitu vidogo tu hivi ata lisaa haliishiJamaa unajua kupika mpaka unakera!
Ahahha tulia ivyo ivyoMimi hiyo location tuu 😝
Bia zangu sijaipata mpk sasa
Sina oventunaziita ladu hizo ifita, mkwe hebu fanya mkate wa ufuta unipe recipe
tunaziita ladu hizo ifita, mkwe hebu fanya mkate wa ufuta unipe recipe
haichomwi na oven bana mm kinachonishinda ni namna ya kuuchoma huu mkate unatuma frying panSina oven
Ngoja katikat ya wiki nijaribuhaichomwi na oven bana mm kinachonishinda ni namna ya kuuchoma huu mkate unatuma frying pan
Nataman sana ila nikiingia mtandaoni tu mfano tiktok live italeta shidaAnza kurecord video mzee baba.
Mahitaji:
1. Simu yoyote yenye kuchukua video vizuri (iPhone kuanzia 11 kwenda mbele itafaa zaidi, set 4K resolution, 30fps)
2. Stend ya kushika simu. Ikiwa over the head ndio poa.
3. Source ya mwanga. Kama unapikia nje tumia jua tu kama unapikia ndani tafuta source kubwa ya mwanga au ata kama upo jiran na dirisha unaweza ukakifungua likawa source.
yan naupenda huo mkate coz hitumii mafuta ni ww na nazi yako unga wangano chumvi na huo ufuta kizaazaa ni namna ya kuuoka zanzibar wakat flan nilienda ulikua ni my fav huku nilipo had nipige sim moja chap nyumban nipikeni naipitia ila mm unanishindaNgoja katikat ya wiki nijaribu
Changamoto kwangu itakuwa jiko la mkaayan naupenda huo mkate coz hitumii mafuta ni ww na nazi yako unga wangano chumvi na huo ufuta kizaazaa ni namna ya kuuoka zanzibar wakat flan nilienda ulikua ni my fav huku nilipo had nipige sim moja chap nyumban nipikeni naipitia ila mm unanishinda