ERIC JOSEPH
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 567
- 55
Reject ntapata... Mama angu ni fundi cherehani. Anatahitaji kwa ajili ya kushona nguo za mnadani
Kabisa mkuu.. Ni fundi mzuri sana ana experience ya zaidi ya miaka 30 akiwa kwenye tasnia ya ushonaji. Sema anapatikana Arusha. We upo wapi kwani?Mama anaweza kutushonea nguo za familia?