raun new model m ngapi,na kama ni mkopo instalment ya malipo imekaaje.ni watu wa aina gani mnakopesha,gvnt empl au hata prvt employee? halaf jibu maswali ya wadau we supa tall pedesheee kizaizai,mutu mukubwa, au ushaanza kukamata castle na wakongo waki kina nyoshi?