Frankdaniel711
JF-Expert Member
- Oct 8, 2018
- 366
- 140
Ndugu yangu natumia simu sio laptop nisamehe kwa hiloPangilia vizuri
Ukitumia simu ndio huwezi kuandika kwa kuacha nafasi?(sababu ya kivivu)Ndugu yangu natumia simu sio laptop nisamehe kwa hilo
Ni kweli unatumia Simu na sio Laptop, hata hivyo kwa kutumia simu hiyo hiyo ungeweza iweka habari yako kwenye paragraphs ingependeza zaidi....Ndugu yangu natumia simu sio laptop nisamehe kwa hilo
Yote ni mazuri lakin yamezidiana viwango na bei magodoro ya ambayo kila mtu ana weza kupigania bei ni GSM yana ugumu na ubora wa kiaina yake lakin magodoro ambayo ni superbrand ni QFL, COMFY, VITARAHA, TANFOM ndio ivyo mkuuMkuu nina mpango wa kutafuta godoro jingine mwezi huu nipo DSM shukran kwa taarifa maana wapigaji wengi siku hiz!! Vipi Tanform ubora wake?? na magodoro gani hapo ni laini laini sio mengine unalala kama unalala kwenye mbao
Hahaha AsanteAnyway....
Hongera sana mkuu
Sawa mkuuNi kweli unatumia Simu na sio Laptop, hata hivyo kwa kutumia simu hiyo hiyo ungeweza iweka habari yako kwenye paragraphs ingependeza zaidi....
Asante Mkuu, kwa bei hizi elekezi.
OK asanteUkitumia simu ndio huwezi kuandika kwa kuacha nafasi?(sababu ya kivivu)
Ok, hata hivyo me sio mnunuzi.
poa nitakutafutaYote ni mazuri lakin yamezidiana viwango na bei magodoro ya ambayo kila mtu ana weza kupigania bei ni GSM yana ugumu na ubora wa kiaina yake lakin magodoro ambayo ni superbrand ni QFL, COMFY, VITARAHA, TANFOM ndio ivyo mkuu
Karibu mkuu Asante sana ukitaji kuja ofisini au kuletewa nyumbani ni wewe tu utakavyopoa nitakutafuta
Hahaha sawa umeshindaTz hakuna godoro lenye jina "Tanfom/Tanform".
Kuwa makini vinginevyo utaonekana mbabaishaji.
AsanteKati ya kampuni moja na ingine ungeweza kuacha nafasi kwa kutumia "ENTER" ikatenganisha paragraph.
Halafu pili tumia mtindo wa "LISTING" pale unapotaja bidhaa mbalimbali. LISTING ni kila bidhaa ikae mstari wake wa peke yake.
Sasa hapa ni kama umevuruga vuruga tu
OkKusema ukweli nimenunua godoro Dodoma inch 8 mwaka juzi 5x6 yani ni ovyo.
Ukilala shimo halirudi juu tena.
Yani nagombana na wife kila siku kisa alinishauri ninunue comfy mimi nikawa mbishi sababu comfy tumetumia sana nikasema tubadilishe brand kumbe nimejiroga.
Godoro Dodoma kwa sasa ni fake tu hamna kitu.
Comfy is is the only king in town