life style ambayo kwa kiasi kikubwa inachangiwa na ulaji hasa wa fat, ili uume usimame barbara, flow ya damu mwilini inapaswa kuwa ya kawaida, ukumbuke uume sio nyama bali ni misuli na mishipa ya damu tu,
apunguze ama aache bia, nyamanyama hasa mkuu wa meza, michemsho isiyokuwa na utaratibu na pia wewe kama mwanamke jaribu kumkanseli na usimwonyeshe kabisa kuwa unakereka na hilo kwa kisaikolojia ataumia kabisa
jaribu sana kuwa unamchezea kila siku ule koni unapojisikia, wala usione aibu hata kama utaishika usiku kucha hiyo ni mali yako
Asanteni sana kwa maoni yenu ntayafanyia kazi. Khsu pombe my love hanywi wala kuvuta! Ila nahc ubize labda. Hv nianzeje kumuuliza kama anatatizo? Hv huwa anajickia vby kutoni do ninapohtaji na yy kushndwa?once again Asanteni kwa ushauri wa kunijenga
Asante zpuwawa! Nianzeje kumshirikisha? Nimuulizeje? Asijisikie vby
yeah, tunaporuhusu unene kutuvaa, tunaruhusu matatizo ambayo kimsingi yanakwepeka, fikiria unaposhindwa kumridhisha mpenzi wako unategemea nini? lakini wadada nao wanachangia katika upande wa pili maana kama hutakuwa msafi vizuri, mfano unaweza ukaona u msafi lakini ukasahau msuguano mtakaoufanya utapeleka kuzalishwa kwa harufu flani ambayo inaweza ikampelekea mtu ulie nae kukwazika na hapo akajikuta hamu ama perfomance inakwisha kabisa, watu wa pwani wanapojifukiza ama kufukiza uturi vyumba vyao kabla ya kukutana na watu wao huwa na sababu, mfano mimi napenda sana chumvini kama sijazama chumvini bado sijamduu dem sasa nikimkuta na kaharufu flan either cha jasho au kitu kingine huwa naahirisha zoezi maana najua nitacheza chini ya kiwango, wakati intetion ni kuona wote tunaridhika na tunafurahi.
Kama unaona imekuwa janaga la taifa kugongwa kugongwa mara moja kwa wiki, kagharamie ving'asti 3 vya kukugonga mara 3 kwa siku.
Asanteni sana kwa maoni yenu ntayafanyia kazi. Khsu pombe my love hanywi wala kuvuta! Ila nahc ubize labda. Hv nianzeje kumuuliza kama anatatizo? Hv huwa anajickia vby kutoni do ninapohtaji na yy kushndwa?once again Asanteni kwa ushauri wa kunijenga
hiyo stori usiianzishe baada tu ya tendo au wakati mnataka kutenda kwa maana utamsononesha
sana na pengine akaanza kutoka nje (kama hafanyi hivyo) ili kujidhihirishi kwamba anaweza shughuli.
hii habari inabid uianze mkiwa mmetulia labda ukumbini na mnazungumzia masuala ya mahusiano
kwa ujumla kisha unaanza kuchomekea kidogo kidogo mathalani kwa kumshauri kuongeza idadi ya kudo.
usisahau kumpa supu ya pweza na kumchemshia maboga
Asante zpuwawa! Nianzeje kumshirikisha? Nimuulizeje? Asijisikie vby
halafu ni vijana wadogo tu wa under 40 wanasumbuliwa kweli ila hawasemi, nimewahi pia kusikia simu zinachangia kupunguza nguvu za kiume, kwa wanaoziweka mfuko wa suruali au zinawekwa kiunoni kuna ukweli hapo?