Karibu Ileje-roof of Southern Tanzania


I remember the place, ila huku mahali kuko poa kweli yani, if i were a billionare- ningejenga vacation house huko- napiga solar ya ukweli,michezo kibao ya baridi.......etc, oops when im i going to be a billionare???
 
Ila kijiji cha isoko kipo fresho umeme wanao huduma za afya fresh usafiri kwenda tunduma fuso hahahahaha sijui hadi leo bado wanatumia fuso nakumbuka fuso yenyewe ilikuwa imeandikwa tolonto watu wa huko wanajua fuso zote ni tolonto!

U surely know the place, but me too. Nmefurahii!
 
Sio Ruswisi ni Luswisi mkuu
 
Sio Ruswisi ni Luswisi mkuu

Nashukuru mkuu maana ni muda mrefu nilipita huko, ni vijiji vingi nimevisahau kwa sasa, ila ilikuwa tour nzuri sana kwangu, na ngoja nikija kuwa jirani na madesa yangu ya safari ile ntaandika kwa kirefu zaidi.
 

Duh!!! hii sasa ni hatari.
kumbe barabara hiyo inaweza kumkatikia mtu akiwa njiani.
 
Hiyo baridi iliyoko Ileje haishindi ya Kitulo - Makete Mkuu. Kuna baridi huko mpaka maji yanageuka jiwe la barafu.
 
Hapana mkuu, kuna uzushi ulisambazwa kuwa kule ni kwenu, bahati mbaya msemaji wako akasahau kukanusha ili raia tuupuuze.

Heshima yako lakini.

ha ha ha.......miss you tho......nini shida......wapi tatizo..............?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…