Karibu Ileje-roof of Southern Tanzania

Majoja

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
612
186
<v:shapetype id=_x0000_t75 stroked="f" filled="f" path="m@4@5l@4@11@9@11@9@5xe" o:preferrelative="t" o:spt="75" coordsize="21600,21600"><v:stroke joinstyle="miter"></v:stroke><v:formulas><v:f eqn="if lineDrawn pixelLineWidth 0"></v:f><v:f eqn="sum @0 1 0"></v:f><v:f eqn="sum 0 0 @1"></v:f><v:f eqn="prod @2 1 2"></v:f><v:f eqn="prod @3 21600 pixelWidth"></v:f><v:f eqn="prod @3 21600 pixelHeight"></v:f><v:f eqn="sum @0 0 1"></v:f><v:f eqn="prod @6 1 2"></v:f><v:f eqn="prod @7 21600 pixelWidth"></v:f><v:f eqn="sum @8 21600 0"></v:f><v:f eqn="prod @7 21600 pixelHeight"></v:f><v:f eqn="sum @10 21600 0"></v:f></v:formulas><v:path o:connecttype="rect" gradientshapeok="t" o:extrusionok="f"></v:path><o:lock aspectratio="t" v:ext="edit"></o:lock></v:shapetype><v:shape style="WIDTH: 522pt; HEIGHT: 391.5pt; mso-position-horizontal: absolute" id=_x0000_i1025 type="#_x0000_t75"><v:imagedata o:title="kerege 003" src="file:///C:\Users\MWAKYA~1\AppData\Local\Temp\msohtml1\01\clip_image001.jpg"> Karibu Ileje4.JPG
Nilifika mahali, jinsi palivyo juu(about 2200Metres above sea level), hata miti haioti-kwa ajili ya baridi kali.
</v:imagedata></v:shape>
 
NILIFIKA MAHALI, panaitwa Ileje, sijui ninii lakini ndio makao makuu ya wilaya: Chifu wao anatoka Chitipa (Malawi) na Mbunge wa Chitipa anatoka Ileje, tena mke wake amezaliwa kuishi na kukulia karibu kabisa na IADO. Na vitabu vya halmashauri vinaonesha 2008/09 walinunua Boti (Mtumbwi) wa futi 40 yenye injini ya HP42 kwa ajili ya mto Songwe wenye upana wa mita 3-6 ukijaa sana na ambao ndio mpaka unaohamahama kati ya Tz, Malawi na Zambia. Teh tehe tehe , tehehehehehhhhhh.....
 
Jomba,
Haya masimulizi yako ni thread tosha!
Tena yana substance nzuri ya kuongelea kuliko thread!

Chifu wa Ileje anatoka Malawi, na Mbunge wa Chitipa(Malwai) anatoka Ileje!....JE haya ni makubaliano local ya mbadilishano wa viongozi?
 
Dah, umenikumbusha mbali kweli, nilishaenda huko, hadi mahali panaitwa isoko. the place is so nice sema kuna baridi kweli!! sometimes its sad that kuna wananchi huko hawajawahi ona lami toka wazaliwe! we met one lady kazaliwa huko, kasoma mpaka la saba huko huko, kaolewa na kazaa watoto hajawahi kuona barabala ya lami.
 
Duh umenikumbusha mbali sana mkuu enzi hizo ndo yalikuwa maeneo yangu ya kutafutia pesa me naijua karibu ileje yate kunasehemu kunamnada unaitwa katengele wanauza ngo'ombe mbuzi na mazao hapo kunabaridi usipime mida ya asubui ndo balaa
 
Ileje Iko wapi?Tanzania au malawi.....Kutaja tu kitongoji......wengine duu imetupita kushoto.
 
Dah, umenikumbusha mbali kweli, nilishaenda huko, hadi mahali panaitwa isoko. the place is so nice sema kuna baridi kweli!! sometimes its sad that kuna wananchi huko hawajawahi ona lami toka wazaliwe! we met one lady kazaliwa huko, kasoma mpaka la saba huko huko, kaolewa na kazaa watoto hajawahi kuona barabala ya lami.
<br />
<br />
Ila kijiji cha isoko kipo fresho umeme wanao huduma za afya fresh usafiri kwenda tunduma fuso hahahahaha sijui hadi leo bado wanatumia fuso nakumbuka fuso yenyewe ilikuwa imeandikwa tolonto watu wa huko wanajua fuso zote ni tolonto!
 
Ileje here I come.....kuna yeyote angependa kunipa company ya kwenda Ileje?

Utanikuta Makambako twende wote gharama utalipia wewe manake siku hizi fursa sawa kwa wote ila usiniite mwanaume suruali..
 
Utanikuta Makambako twende wote gharama utalipia wewe manake siku hizi fursa sawa kwa wote ila usiniite mwanaume suruali..

mambo ya kukutana Makambako ndo nisiyoyataka.......mguu kwa mkono....kutoka point A hadi point B......
 
Mimi hapa Preta...

asante Riwa....basi tupange lini tunaenda Ileje....

Mie nitakununulia koti maana baridi ni balaa.

...Sema lingine Preta. am available just ni-PM tupange i hope utafurahia company yangu!!!

Utanikuta Makambako twende wote gharama utalipia wewe manake siku hizi fursa sawa kwa wote ila usiniite mwanaume suruali..

tena tupange na nguo za kwendea kabisa....si umesikia kuna baridi kali.........
Sasa Preta hueleweki utakwenda na nani!...Njia mbili zilimshinda fisi!...kuwa na msimamo bana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom