Kapambaika

kweli mwili haujengwi kwa tofali
 
Kimewaka madawa ya kulevya hayo.

Niliwahi ona bibi kikongwe wamemvisha makalioni, mabegani na tumboni.

Bibi wa watu walimmaliza hivyo hivyo sijui kesi yake iliendeleaje, inasikitisha bibi anatumia mkongoja.

Wauza unga wana roho ngumu sana, bibi kama yule huwezi kumbebesha madawa ya kulevya na pengine walimdanganya bibi wa watu, nina uhakika hakuwa anafahamu alichobeba
 

mkuu hawana dini wale ingawa wanasali sana
 
Hizo nguo zina choo humo humo, nyela mumo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…