Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,230 Jul 8, 2018 #1 Habari Zenyuuu..... Nimewathiiiii hahahahhhaa Kama kawaida ya Kasie kama dawa mahaba mtindo mmoja. Kaona mambo iko huku.... taarabu imoo taarabu imooo, kaona mambo uko hukuuu weeehh..... mwanamke mambooo. Najua kuna watu wanakwazika kila nikisimulia mahaba niliyopewa, mnivumilie tuu maana najitahidi kukaa kimya mwisho nashindwa pwaaaah uzi huu hapa. Nisidadavue saanaa itoshe kusema Denis amekamua mayai kibao... sasa sijui amebahatisha kupevusha mojawapo.... Tangu jana usiku tulikuwa tunabadili santuri tuu kutoka reggie muffin hadi slow jams.... Isingekuwa kunikanda nisingeweza kuweka uzi hapa, masikini he is so sweet.... kaingia jikoni ananipikia makaroni..... basi nadekajee.... Kasie Mahaba Matata. Mwanamke Mamboooo.....😉
Habari Zenyuuu..... Nimewathiiiii hahahahhhaa Kama kawaida ya Kasie kama dawa mahaba mtindo mmoja. Kaona mambo iko huku.... taarabu imoo taarabu imooo, kaona mambo uko hukuuu weeehh..... mwanamke mambooo. Najua kuna watu wanakwazika kila nikisimulia mahaba niliyopewa, mnivumilie tuu maana najitahidi kukaa kimya mwisho nashindwa pwaaaah uzi huu hapa. Nisidadavue saanaa itoshe kusema Denis amekamua mayai kibao... sasa sijui amebahatisha kupevusha mojawapo.... Tangu jana usiku tulikuwa tunabadili santuri tuu kutoka reggie muffin hadi slow jams.... Isingekuwa kunikanda nisingeweza kuweka uzi hapa, masikini he is so sweet.... kaingia jikoni ananipikia makaroni..... basi nadekajee.... Kasie Mahaba Matata. Mwanamke Mamboooo.....😉
proxy JF-Expert Member Joined Jul 3, 2016 Posts 1,481 Reaction score 1,356 Jul 8, 2018 #3 Du hatari hii
kimbendengu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 8,423 Reaction score 16,201 Jul 8, 2018 #4 Hilo guu
log10 JF-Expert Member Joined Jul 30, 2013 Posts 439 Reaction score 361 Jul 8, 2018 #5 Daaah umenikumbusha enzi ya y2k...pole na hongera kwa kazi pana
Paz3i JF-Expert Member Joined Oct 11, 2014 Posts 1,040 Reaction score 1,531 Jul 8, 2018 #6 ha! kumbe una rang nzur hivo [HASHTAG]#fanya[/HASHTAG] niwe mrith wa denis
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,230 Jul 8, 2018 Thread starter #7 log10 said: Daaah umenikumbusha enzi ya y2k...pole na hongera kwa kazi pana Click to expand... Umekumbuka nini?
log10 said: Daaah umenikumbusha enzi ya y2k...pole na hongera kwa kazi pana Click to expand... Umekumbuka nini?
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,230 Jul 8, 2018 Thread starter #8 TrickStar said: ha! kumbe una rang nzur hivo [HASHTAG]#fanya[/HASHTAG] niwe mrith wa denis Click to expand... Hahaha hiyo ni rangi ya nguo, hata hivyo sijui kama atakubali....
TrickStar said: ha! kumbe una rang nzur hivo [HASHTAG]#fanya[/HASHTAG] niwe mrith wa denis Click to expand... Hahaha hiyo ni rangi ya nguo, hata hivyo sijui kama atakubali....
Ngushi JF-Expert Member Joined Jul 8, 2016 Posts 9,064 Reaction score 18,367 Jul 8, 2018 #9 Mmh hiyo miguu! "Tembo ni wa kuwaangalia huko huko mbugani Sio kufuga"
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 79,028 Reaction score 168,649 Jul 8, 2018 #10 Kasie una nini na mimi?
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,230 Jul 8, 2018 Thread starter #11 Ngushi said: Mmh hiyo miguu! "Tembo ni wa kuwaangalia huko huko mbugani Sio kufuga" Click to expand... Anaanzaje kukubali kufugwa kwanza.... uhuru wake ndo maisha yake... kufugwa utumwa....
Ngushi said: Mmh hiyo miguu! "Tembo ni wa kuwaangalia huko huko mbugani Sio kufuga" Click to expand... Anaanzaje kukubali kufugwa kwanza.... uhuru wake ndo maisha yake... kufugwa utumwa....
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,597 Reaction score 29,530 Jul 8, 2018 #12 Kama hilo guu ni lako hongera sana
Ngushi JF-Expert Member Joined Jul 8, 2016 Posts 9,064 Reaction score 18,367 Jul 8, 2018 #13 Kasie said: Anaanzaje kukubali kufugwa kwanza.... uhuru wake ndo maisha yake... kufugwa utumwa.... Click to expand... Kweli kabisa! Basi Denis akiondoka naomba nishtue nije nimuwekee angalau uzio ili majangiri wasimdhuru
Kasie said: Anaanzaje kukubali kufugwa kwanza.... uhuru wake ndo maisha yake... kufugwa utumwa.... Click to expand... Kweli kabisa! Basi Denis akiondoka naomba nishtue nije nimuwekee angalau uzio ili majangiri wasimdhuru
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,230 Jul 8, 2018 Thread starter #14 Bujibuji said: Kasie una nini na mimi? Click to expand... Abeeeh bujiii..... Hethina mburiii..... watidhee
Bujibuji said: Kasie una nini na mimi? Click to expand... Abeeeh bujiii..... Hethina mburiii..... watidhee
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,230 Jul 8, 2018 Thread starter #15 wa stendi said: Kama hilo guu ni lako hongera sana Click to expand... Sio langu..... Mwanamke mambooo.... hehehehheheh
wa stendi said: Kama hilo guu ni lako hongera sana Click to expand... Sio langu..... Mwanamke mambooo.... hehehehheheh
Mlima simba JF-Expert Member Joined Dec 28, 2017 Posts 3,858 Reaction score 7,074 Jul 8, 2018 #16 Wakubwa wanafaidi aisee
Jumong S JF-Expert Member Joined Jul 3, 2013 Posts 7,450 Reaction score 10,807 Jul 8, 2018 #17 Kasieee! Unajua natamani kukuambia kajambo....
bhachu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 8,915 Reaction score 10,770 Jul 8, 2018 #18 Na hicho kikuku ina maana Denis anazibua hadi chemba linapopita Gogo lenye harufu mbaya
Mr HEISENBERG Senior Member Joined Sep 6, 2017 Posts 149 Reaction score 133 Jul 8, 2018 #19 Mhhh .... hicho kikuku ..
Mr HEISENBERG Senior Member Joined Sep 6, 2017 Posts 149 Reaction score 133 Jul 8, 2018 #20 Mr HEISENBERG said: Mhhh .... hicho kikuku .. Click to expand... sauti ya Ney wa mitego "Nazibua chemba chumban"
Mr HEISENBERG said: Mhhh .... hicho kikuku .. Click to expand... sauti ya Ney wa mitego "Nazibua chemba chumban"