Kanafuraahi...

Hahahahahaaaaaa... Umenikumbusha ule wimbo wetu "Wacha waisome namba eeh, ... mbele kwa mbeleee...
Matokeo yake waliokuwa wakiuimba ndiyo wakawa wa kwanza kuisoma namba...

Hàpo sasa hata waliofunga goli la mkono nao wanajuuuuuuta
 
Hiyo style yake ni balaa,, katakuwa na kipaji cha Kung fu..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…