Eti bwana...
Inawezekana mtu kapiga American Lottery Jackpot Bingo ya ONE BILLION DOLLARS..
Hii ilikuwaga tabia ya Jiwe a.k.a JPM. Ukionekana una pesa kuizidi serikali yake tu, basi wewe ni mwizi...!
Duuh, hii ilikuwa tabia mbaya ya Jiwe...
Bishop Zackary Kakobe wa Full Gospel Bible Fellowship Church [FGBFC] hatamsahau Jiwe...
Yaani aliposemaga tu yeye ana mahela kuliko serikali, mzee wa kazi Jiwe alipanikigi ile mbaya kiasi cha kuanza kushuku uraia wa muha wa Kakonko Mzee wetu Zakaria Kakobe..
Roho ya umasikini mbaya kwelikweli...!!