Pipoooz! Powerrrr.
Hivi naombeni kuuliza swali, huko mikoani Lowassa anapiga sera za kueleweka?
Au ni kama huku alipotwambia twende kwenye website, naona kila clip za video zinazotumwa wasapu ni Magufuli tu, Lowassa naona picha tu.
Kitengo cha habari UKAWA kijifikirie utendaji wake.