Leo mchana nimehudhuria kampeni ya CCM katika kijiji cha Nyanduga wakiwemo Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya Ndugu kiboye namba 3 na Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Lameck Airo.
Ndugu zangu sikuamini macho yangu na masikio yangu yale matusi yalivyokuwa yanaporomoshwa dhidi ya Lowassa, Mbowe, Mbatia na Owawa.
Ni aibu kuyaandika hapa lakini hawa Ndugu zetu wameishiwa sera muda wote wa kampeni ni matusi.
Huyu namba 3 alikuwa muuza mafuta kwenye kituo cha Gachuma na akabebwabebwa na hatimaye akafikia hapo alipo. Huyu Mbunge aliyemaliza muda wake ninyi mnajua elimu yake hata Bungeni ukimuuliza Hansard ni nini hawezi kukujibu.
Hahudhurii Bungeni na hata swali na majadiliano kwenye Bunge ni mama mkwe kwake. Tufike mahali tusiwe tunawatukana wenzetu ili tunatakiwa kunadi sera za Chama husika.
Ukimshinda Airo Rorya nakupa Gari mpya.
Kwani aliingia kwa kigezo gani!Hivi majitu majinga kama wewe sasa unataka watu tuanze kupishana lugha humu?LAMECK anaweza kurudi bungeni kwa kigezo gani? akyanani akirudi bungeni najinyonga mchana kweupe,kamavip tunza huu uzi.
Raya Tobias alishavuliwa uenyekiti?!Leo mchana nimehudhuria kampeni ya CCM katika kijiji cha Nyanduga wakiwemo Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya Ndugu kiboye namba 3 na Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Lameck Airo.
Ndugu zangu sikuamini macho yangu na masikio yangu yale matusi yalivyokuwa yanaporomoshwa dhidi ya Lowassa, Mbowe, Mbatia na Owawa.
Ni aibu kuyaandika hapa lakini hawa Ndugu zetu wameishiwa sera muda wote wa kampeni ni matusi.
Huyu namba 3 alikuwa muuza mafuta kwenye kituo cha Gachuma na akabebwabebwa na hatimaye akafikia hapo alipo. Huyu Mbunge aliyemaliza muda wake ninyi mnajua elimu yake hata Bungeni ukimuuliza Hansard ni nini hawezi kukujibu.
Hahudhurii Bungeni na hata swali na majadiliano kwenye Bunge ni mama mkwe kwake. Tufike mahali tusiwe tunawatukana wenzetu ili tunatakiwa kunadi sera za Chama husika.
Kwani kuuza mafuta ni kosa?Leo mchana nimehudhuria kampeni ya CCM katika kijiji cha Nyanduga wakiwemo Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya Ndugu kiboye namba 3 na Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Lameck Airo.
Ndugu zangu sikuamini macho yangu na masikio yangu yale matusi yalivyokuwa yanaporomoshwa dhidi ya Lowassa, Mbowe, Mbatia na Owawa.
Ni aibu kuyaandika hapa lakini hawa Ndugu zetu wameishiwa sera muda wote wa kampeni ni matusi.
Huyu namba 3 alikuwa muuza mafuta kwenye kituo cha Gachuma na akabebwabebwa na hatimaye akafikia hapo alipo. Huyu Mbunge aliyemaliza muda wake ninyi mnajua elimu yake hata Bungeni ukimuuliza Hansard ni nini hawezi kukujibu.
Hahudhurii Bungeni na hata swali na majadiliano kwenye Bunge ni mama mkwe kwake. Tufike mahali tusiwe tunawatukana wenzetu ili tunatakiwa kunadi sera za Chama husika.
Acha uzushi na kutafuta kuhurumiwa.Hapakuwepo na tusi hata moja.Jibuni hoja msijifiche.hatuwahurumii ng'oLeo mchana nimehudhuria kampeni ya CCM katika kijiji cha Nyanduga wakiwemo Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya Ndugu kiboye namba 3 na Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Lameck Airo.