ipUmechaguliwa kozi gani mkuu ??
Umeangea vizuri sana mkuu ,ila kwa KIU ada ya pharmacy ni Tsh 3,800,000 na bodi ya mikopo wanatoa 3,100,000 hivyo pharmacy wanaongezea 700,000 mwaka mzima .. Sawa sawa na medical laboratory ,....kozi yenye ada kubwa Kampala ni medicine ambayo ni 6,700,000 na bodi inatoa 3,100,000 peke hivyo inabidi kuongeza 3,600,000 kwa mwaka...
Kwenye guide book inaonyesha loan ni 3.1 mil so its true unatakiwa kuongeza 700,000Umeangea vizuri sana mkuu ,ila kwa KIU ada ya pharmacy ni Tsh 3,800,000 na bodi ya mikopo wanatoa 3,100,000 hivyo pharmacy wanaongezea 700,000 mwaka mzima .. Sawa sawa na medical laboratory ,....kozi yenye ada kubwa Kampala ni medicine ambayo ni 6,700,000 na bodi inatoa 3,100,000 peke hivyo inabidi kuongeza 3,600,000 kwa mwaka...
Sis tunasoma hapo !!na siasa zipo ndan yake pia haiwezekan et wafungieee et sabb maabara a.c hazifanyi kaz!!na sshv zimewekwa, baada yakupewa miez sita kurekebisha na kutofanya hvyo wakachukua uamuz wakufungia !!bt na siasa pia zipo ndan yakeUnajua kwanini udom imefungiwa ?? Kama ulikua hujui ni bodi ya ukaguzi Africa mashariki ndio walipita wakakagua vyuo vyote vya afya ,na kutoa mapendekeze vyuo vilivyokuwa na mapungufu makubwa vifungwe , TCU hawakukurupuka tu kijana
Kumbe hata uelewi unachozungumza ,, wafungie kudahili wanafunzi kisa A.C hazifanyi kazi maabara [emoji15] [emoji38] ? Kumbe hata sababu huzijui em fuatilia , au uliza ujuzweeSis tunasoma hapo !!na siasa zipo ndan yake pia haiwezekan et wafungieee et sabb maabara a.c hazifanyi kaz!!na sshv zimewekwa, baada yakupewa miez sita kurekebisha na kutofanya hvyo wakachukua uamuz wakufungia !!bt na siasa pia zipo ndan yake
WeV
ip
UOTE="catecholamine, post: 17762931, member: 376510"]Umechaguliwa kozi gani mkuu ??
Kama unajua ww sema hapa utujuze!! Ndyo maana nikaweka neno "et".wanadai hvyo bt sifikirii hvyo!!haiwez kuwa sbb !!km unajua tell usKumbe hata uelewi unachozungumza ,, wafungie kudahili wanafunzi kisa A.C hazifanyi kazi maabara [emoji15] [emoji38] ? Kumbe hata sababu huzijui em fuatilia , au uliza ujuzwee
Chuo kipo gongolamboto mwisho, cost of living is affordable coz wananchi wengi wa gongolamboto ni wamaisha ya kawaida tuu, on campus hostel ipo kwa Wasichana na zingine nyiingi kwa male and females zipo nje.. pamoja na vyumba vya kupangisha pia vinapatikana kwa cost poa... mazingira ni mazuri saana tu kwa kusomea ukifika huta regret.... karibu KIU.Naomba mwenye ufahamu na hiki chuo, mazingira, gharama za maisha,hostel na hadhi ya elimu inayotolewa kwa sasa anijuze...pia kama ukiwa na picha ya mazingira yake mnaweza kuweka...
Updated guide book inaonesha hivi
Guide book ya 2016/2017 hyoMkuu Hiyo ↑↑↑ Ni Guide Book Ya Mwaka Gani??
Kwasababu Ya Mara hii 2016/2017 ni hii ↓↓↓↓
View attachment 406156
Hiyo wanaandika tu ,, ila kozi zote za afya (MD, Bpharm, BMLs) wanapewa tuition fee sawa ambayo 3,100,000 kwa mwaka ,,kama una jamaa KIU uliza atakujuza.. Hivyo kozi za Bpharm na BMLs wanaongeza 700,000 tu kwa mwaka...Tukikariri GuideBook iliyopita Basi Utakutia Kuwa Mkopo Wanakupa 3.1M, Lakini Kwenye GuideBook Ya Marahii Mkopo Wanaokupa ni 1.6M tu! Zilizobakia Kwenye 3.8M unaongezea Mwenyewe.
Tukikariri GuideBook iliyopita Basi Utakutia Kuwa Mkopo Wanakupa 3.1M, Lakini Kwenye GuideBook Ya Marahii Mkopo Wanaokupa ni 1.6M tu! Zilizobakia Kwenye 3.8M unaongezea Mwenyewe.
Ingia tcu udownload guide book iliyopo sasa hiv ambayo ni updated utaona mikopo mipya wanayotoa!!
Sio kweli KIU haijafungiwa , na pia haijawahi kutoa kozi ya uuguzi .. Hivyo kama hujui kitu ni bora kunyamaza kuliko kuandika usichokijua
Et Ada ya pharmacy bei gani bro nataka nije apo 0719848353Chuo kipo gongolamboto mwisho, cost of living is affordable coz wananchi wengi wa gongolamboto ni wamaisha ya kawaida tuu, on campus hostel ipo kwa Wasichana na zingine nyiingi kwa male and females zipo nje.. pamoja na vyumba vya kupangisha pia vinapatikana kwa cost poa... mazingira ni mazuri saana tu kwa kusomea ukifika huta regret.... karibu KIU.