Kamati ya ufundi inaundwa na kocha, kocha msaidizi, meneja na daktari wa timu. Sasa sijui kwa nini hao wafe kwanza ndio Simba itaacha kuifunga Yanga, mbona Simba imebadili makocha kibao na kila anayetoka walau anakuwa ameifunga Yanga? Kwa ufupi hata hawa wakifa, Yanga itafungwa mara kwa mara tu!