Na ndio maana nimetaka waweke wazi utaratibu nzima wa kusajili hizo Radio kuwa wachezesha kamari.kamari zina regulator wake (Gaming Board) na kuna sheria inayosimia hiyo michezo, na jinsi ya kutoza kodi kuafatana na aina ya kamari unayofanya (slots. table, online n.k)
Sasa hivi radio/TV zimegundua kwamba kamari ndio trusted source ya income, Mteja (msikilizaji) unaambiwa lipa buku just to chase the shadow, hoping to pocket 500,000/=
Unapocheza kamari, nafasi ya muendesha kamari kushinda ni kama 97 % na wewe mtoa buku ni kama 2- 3%. Piga hesabu hapo. uone watu wanavyopumbazwa kupoteza hela
Kama sio mvivu wa kusoma, Tafuta Gaming Act Chapter 41 Revised edition 2019 yote hayo yamo humo.Na ndio maana nimetaka waweke wazi utaratibu nzima wa kusajiri hizo Radio kuwa wachezesha kamari.
Nilijaribu kupitia kwakweli, na nikiri wazi hizo sheria inapaswa kurekebishwa kwa kuangalia hali ya uchumu wa wananchi na sio tu kukusanya kodi bila kuzingatia usawa wa kiuchumi na madhara yake.Kama sio mvivu wa kusoma, Tafuta Gaming Act Chapter 41 Revised edition 2019 yote hayo yamo humo.
mtoa hoja ni muathirika namba mojaUjinga, maradhi na umaskini.
Binafsi hata siamini kwenye hizi kamari za kuamuliwa na utashi wa mtu, na hapa ndipo hoja yangu ilipo. Binafsi nimefuatilia sana namna gani hizi kamari zinaendeshwa na nimegundua huu ni utapeli wa kiwango cha juu mno.mtoa hoja ni muathirika namba moja
Wao ndio wanaendesha. Mi pia nachukizwa na hizo kamari za kijinga.Sasa kwa nini uwaite hao watangazaji wajinga? nani alikuambia wao ndio wanaendesha hiyo Michezo? kwanini hukuamua kufuatilia kabla ya kuliltea hapa?
mkuu kama huna imani achana nazo, hata mimi sina imani nazo, sichezi kabisaBinafsi hata siamini kwenye hizi kamari za kuamuliwa na utashi wa mtu, na hapa ndipo hoja yangu ilipo. Binafsi nimefuatilia sana namna gani hizi kamari zinaendeshwa na nimegundua huu ni utapeli wa kiwango cha juu mno.