Kama wao haijabamba sababu Jide hajamdiss Gardner

aka2030

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
2,630
3,578
Wadau kama nlivotanabaisha mwanzo kuwa Jide ili atambe lazima amponde Gardner. Sasa ana wiki ya 2 ametoa nyimbo inaitwa kama wao lakini cha ajabu yaweza pita masaa 72 bila kuisikia.

Hata E fm hawaipigi hata EA radio. Shoo yake ya Moshi na Arusha zilidoda mpaka akaona aibu kupost picha za matukio kwa wingi zaidi tuliishia kuona za matayarisho na akiwa stejini lakini mbwembwe za ukumbi kujaa hapana.

Huyu dada ameisha, sasa atulie tu
 
majungu sio mtaji
uuzee ubadilikeeee
ukiwa unaona elimu ni ghali basi jaribu ujingaaaa
(RIP Ramadhan Masanja aka Banza stone)
Jamani mi mwenyewe nilijua Banza kafa, leo nimemuona anahojiwa na Salama Jabir kipindi cha mikasi ile channel ya movie za bongo DSTV. Au walikuwa wanarudia kipindi cha miaka ya nyuma? Banza kasema kashazoea kufa maana kashauliwa kama mara nne hivi
 
Jamani banza mbona kishafariki hiyo itakua ya zamani
 
Kashakwambia kwenye mistari yake "Nakoseka na Bango nakolela Tee." yaani usimshikie Bango wakati yeye kashatusua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…