UKWAJU WA KITAMBO
Member
- Feb 6, 2024
- 40
- 65
Ni picha ya dj steve b na dj sinyorita nimepost picha ya dj steve b kwaBABU ni sehemu ya watu waliotanjwa katika hiyo nyimbo hiyo ya QD.Maelezo kidogo kwenye picha iyo
Hivi huyo binti bado yupo Clouds Radio ama aliondoka?Ni picha ya dj steve b na dj sinyorita nimepost picha ya dj steve b kwaBABU ni sehemu ya watu waliotanjwa katika hiyo nyimbo hiyo ya QD.
AlishaondokaHivi huyo binti bado yupo Clouds Radio ama aliondoka?
Sijamsikia Kitambo sana
Saivi yupo na media gani?Alishaondoka