Alkam Alkam
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 603
- 512
Bei hua aziwi sawa kwa sababu ya ukubwa wa bango unalo taka.Mngekuwa mnaweka bei
Bei ni tofauti kulingana na ukubwa wa bango lako bango la mita 3 si sawa na bango la mita 1.Mkuu weka na bei yako tafadhali
Ahsante kwa ufafanuzi.Bei huwekwa kwa SQM au Maneno
Wewe ndo wajua, wewe ndo watakiwa uweke aina ya mabango na bei
Kwa ufupi ni kwamba umegoma kuweka bei,kweli uende dukani kuuliza bei ya mchele,muuzaji anakwambia bei ni tofauti sababu kuna mchele wa Mbeya, ifakara na Kahama. Utajisikiaje ukijibiwa hivyo? Na utajisikiaje muuzaji akikwambia mchele wa Mbeya 1kg ni 2400,wa Kahama 2100 na wa Ifakara 2000?Bei ni tofauti kulingana na ukubwa wa bango lako bango la mita 3 si sawa na bango la mita 1.
Hata lile juu ya duka ama frame ya biashara ni la kulipia?Mf
Kama bango ni la kuweka LED bei yake ni tofauti.
Gharama za kukata maneno yajulikana board ya acrylic ni kuanzia 10000-40000 kutegemeana na upana wa board
Board huuzwa kuanzia 25,000 na kuendelea hivyo
Wewe kazi yako ni kutueleza
Bango likiwa hivi bei yake ni Tsh kadhaa
Likiwa hivi ni kiasi kadhaa
Usisahau kuwaambia wateja wako kuwa wanahitaji lipia TRA, kama lakaa road reserve waende tanroad vinginevyo watakuta limechorwa nyekundu
Mabango yote hulipiwa TRA 8000/1sqftHata lile juu ya duka ama frame ya biashara ni la kulipia?
Nahisi kiswahili wajua vizuri mkuu na umeandika vizuri pia [emoji2][emoji2]Kwa ufupi ni kwamba umegoma kuweka bei,kweli uende dukani kuuliza bei ya mchele,muuzaji anakwambia bei ni tofauti sababu kuna mchele wa Mbeya, ifakara na Kahama. Utajisikiaje ukijibiwa hivyo? Na utajisikiaje muuzaji akikwambia mchele wa Mbeya 1kg ni 2400,wa Kahama 2100 na wa Ifakara 2000?
Duuh Yani kama kuweka bei ya biashala yako mwenyewe unakuwa mbakhir, sipati picha akaehitaji uumpe ushauli wa kiufundi itakuwaje[emoji848]Nahisi kiswahili wajua vizuri mkuu na umeandika vizuri pia [emoji2][emoji2]