atakwambia anaweza!!! bwanaweeee, ndugu yangu mmoja nilimletea floor ya bamboo, aliyekuwa anamfanyia kazi zake za tile si akasema anaweza bana, akapigilia misumari kwa juu kisha akajazia na unga wa randa...HASARA!