nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,034
- 900
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ata mm nimesahau simu nyumbani hapa nimepanda tororoo naipaisha kinyama...maana wife akiishika nimekwisa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitu iko kwa matumizi ya simu zaidi....
sio tu kusahau simu mahali, hata ile hali ya kuhisi betri inaisha na hauko karibu kuchaji.....
Woga unaompta mtu pale anapohisi hatukuwepo kwenye mawasiliano kwa mda.....
Vile vile utumiaji wa simu kupitiliza, mpaka unaona bila simu huwezi kufanya kitu...tayari unakuwa umeangukia kwenye hili kundi.....
Yaani betri ikikaribia kuisha kiwewe kinachoanza!Hii kitu iko kwa matumizi ya simu zaidi....
sio tu kusahau simu mahali, hata ile hali ya kuhisi betri inaisha na hauko karibu kuchaji.....
Woga unaompta mtu pale anapohisi hatukuwepo kwenye mawasiliano kwa mda.....
Vile vile utumiaji wa simu kupitiliza, mpaka unaona bila simu huwezi kufanya kitu...tayari unakuwa umeangukia kwenye hili kundi.....
The term is an abbreviation for "no-mobile-phone phobia."Note zangu sijui nilipoziweka, Nikumbushe neno NoMoPhoBia limepatikanaje?