kama rangi imeshindwa chokaa itaweza?

MAN PC

Senior Member
Joined
May 1, 2013
Posts
108
Reaction score
18
hi jf! hope ur fine; kuna bro wngu amepata mschana ambae amewashinda wazazi wake, club analala pombe ndo usiseme mtaa mzima anafahamika bt bro 2memshauri achanenae lakini amegoma coz eti du ana sura nzuri, anadai kwamba atamrekebisha, je m2 wa hivo awezakua wife material au?
 

huyo bro wako anajidanganya....imekula kwake. ila usiwatenganishe maana wapenda nao bwana ukiwaingilia watasema wewe ndio adui
 
huyo bro wako anajidanganya....imekula kwake. ila usiwatenganishe maana wapenda nao bwana ukiwaingilia watasema wewe ndio adui[/


Mzabzab we kwa m2 kama huyo ungeweza msaidiaje?
 
Kama bro wenu hashauriki basi muacheni, yakimkuta huko lazima ataachia ngazi mwenyewe
 
Labda kaka yako ana mpango wa kufungua baa hivyo anatafuta mke na wakati huo huo floor manager
 
thanx., bt bado 2nashindwa jins ya kumsaidia.
 
kaka yako ni kati ya watu mashujaa sana wanaostahili pongezi. sio muoga na anajiamini kuwa ataweza, watu wa aina hii katika dunia ndio hufanikiwa ktk mipango yao. Huyo binti hizo tabia hakuzaliwa nazo bali alijifunza na kuzizoea kulingana na mazingira aliyokulia vivyo hivyo sio lazima kusema ni lazima atakufa nazo, ni suala la kupata mtu sahihi kwa wakati sahihi. kaka yako anaweza kuwa mtu sahihi ikiwa ataungwa mkono.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…