Kama Rais Magufuli anafuata ushauri wa Wataalam wa afya, wewe ni nani ujifanye kichwa ngumu?

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Salaam Wakuu,

Nakushangaa wewe unayeleta Siasa kwenye afya yako. Kumbuka huo mwili hauna spare na afya yako ndo Uhai wako

Huku tunakoelekea kila mtu akili kichwani. Nawaonea huruma wanaosubiri walekezwe tongwe la Ugali linawekwa mdomoni si puani.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Thadeo Marco Mwenempazi mmoja wa wateule 10 walioapishwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam Aprili 20, 2018.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwapongeza baada ya kuwaapisha Majaji Kumi wa Mahakama Kuu, Wakili Mkuu wa Serikali na Manaibu Mwanasheria Mkuu, Mkurugenzi wa Mshataka na Wakili Mkuu Ikulu jijini Dar es salaam 2018

BAADA YA ARIDHIO

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, akishuhudia Kamishna wa Maadili, Jaji Siiyangilwa Sikalilwa Mwangesi, akimlisha kiapo cha Maadili ya Viongozi wa Umma, Zepharine Nyalugenda Galeba aliyemuapisha kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzaia kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino, jijini Dodoma.


RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, akimpomngeza baada ya kumuapisha, Zepharine Nyalugenda Galeba, kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzaia kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino, jijini Dodoma.
DODOMA: FEBRUARI 02, 2021
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…