Nakusamehe tu, yawezekana wewe unaishi Urusi au Ukraine kwa hiyo hujui kinachoendelea hapa Nchini.Umeongea marefu ila hujataja hata kitu kimoja cha upigqji au mtu mmoja aliyekamatwa anapiga. Acha maelezo ya jumla jumla, weka facts kuonesha una uhakika na unachokisema. Wacha kuishi kwa kufata mikumbo vijiweni
Kwanza unasema kipindi hiki, je una uhakika kipindi kilichopita hakukuwa na upigaji? Kuna kipindi kimewahi kuwa bila upigaji Tanzania?
Huna haja kunisameheNakusamehe tu, yawezekana wewe unaishi Urusi au Ukraine kwa hiyo hujui kinachoendelea hapa Nchini.
Ndugu zanguni, kila Mtanzania anajua jinsi rasilimali za Nchi yetu zinavyochakazwa na WAHUNI siku hizi.
Kila unapogusa pana upigaji mrefu kabisa. Watu wanakosa huduma za kijamii, na Wapigaji wanaongezeka kila uchao...
Hujui Kweli kwa nini Maendeleo ni kikwazo?Ndugu zanguni, kila Mtanzania anajua jinsi rasilimali za Nchi yetu zinavyochakazwa na WAHUNI siku hizi.
Kila unapogusa pana upigaji mrefu kabisa. Watu wanakosa huduma za kijamii, na Wapigaji wanaongezeka kila uchao...
Lucky enough ameshakufa..Ndugu zanguni, kila Mtanzania anajua jinsi rasilimali za Nchi yetu zinavyochakazwa na WAHUNI siku hizi.
Kila unapogusa pana upigaji mrefu kabisa. Watu wanakosa huduma za kijamii, na Wapigaji wanaongezeka kila uchao...
Hakuna popote Duniani ambapo wanaojuana wananyimana uongozi..
- Kupeana uongozi kwa misingi ya undugu, urafiki, ushost, ukanda badala ya creativity na perfomance
- Uchawa wa kusifiana sana hata kwa makosa ya waziwazi...
Kwahiyo ni lazima tuige huko akili zetu haziwezi kujitegemea tukawafanya wengine watuige sisi, au wao ni misahafu yetu lazima tufungwe na wao?Hakuna popote Duniani ambapo wanaojuana wananyimana uongozi..
Nature defines the destinyKwahiyo ni lazima tuige huko akili zetu haziwezi kujitegemea tukawafanya wengine watuige sisi, au wao ni misahafu yetu lazima tufungwe na wao?