kama kuna kazi moshi

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,228
Reaction score
1,264
habari zenu wanajamii forum,naombeni jamani kama mtu atasikia mchongo wowote wa kazi anijulishe kwa namba 0714921363 mm niko kilimanjaro nimehitimu mwaka jana so kama kuna kazi zozote za NGOs au mashirika mengine naweza kufanya nimesomea bachelor of art in development studies,kwa kuwa naamini jamii forum najua hii itakuwa solution kwangu nisaidieni kwa hili kama linawezekana.ahsante
 
yap kwa kuwa sichagui kazi,kama nitaupata nitashukuru
 
Kuna kazi zilitoka juzi juzi hapo moshi za fani yako, uwe unapita pita na kule zoom tz, huku naona watakutania tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…