TUanzie wewe tukufukuze kwani wewe sio bikra piaKuna vitu vinatafakarisha kuna wanaume tunasema ukimkuta mkeo kakusaliti fukuza, ileweke kwamba anaetakiwa kufukuza mkewe andapo amemkuta kamsaliti ni yule mwanaume ambae alimkuta mkewe bikra ila kwa wewe mwenzangu kama mkewako hujamkuta bikra fukuza hata kama hajakusaliti maana unaishi na mzinzi sugu
kwa mtindo wa maisha ya sasa bikira hotaka kirahisi sana mthalani kutokana na stress, uvaaji ngou za ndani, vyakula, mabadiliko ya hali ya hewa, mikito ya safari za baiskeli, bodaboda na dalalaKuna vitu vinatafakarisha kuna wanaume tunasema ukimkuta mkeo kakusaliti fukuza, ileweke kwamba anaetakiwa kufukuza mkewe andapo amemkuta kamsaliti ni yule mwanaume ambae alimkuta mkewe bikra ila kwa wewe mwenzangu kama mkewako hujamkuta bikra fukuza hata kama hajakusaliti maana unaishi na mzinzi sugu
sio mimi ni wenzio wanaotaka mke msaliti afukuzweBro unamawazo hasi, bikra ya mwanamke inaweza kutoka Kwa njia mbalimbali Moja wapo inaweza kuwa ilitoka akiwa anajifunza kuendesha baiskeli za migamba zale za kale wanaita mkulima kwaio usikalili et bikra kutoka ad apelekewe moto
Wa kwenu wamefukuzwa wangapi?Kuna vitu vinatafakarisha sana kuna wanaume tunasemaga ukimkuta mkeo kakusaliti fukuza, ieleweke kwamba anaetakiwa kumfukuza mkewe andapo amemkuta kamsaliti ni yule mwanaume ambaye alimkuta/amemkuta mkewe bikra yaani hajawahi kufanya mapenzi ila mwenzangu na mimi kama hujamkuta mkewako bikra na ukajiunga kwenye msafara wa mamba na wewe kenge mwenzangu fukuza kabla hata hajakusaliti maana unaishi na mzinzi sugu, mke wa mtu na wewe unaridhi dhambi ya uzinzi hebu fukuza
wakague na uwaniUnaweza kumuoa huyo mdada kwa kigezo kwamba ana bikra ila ukaja chapiwa vilevile huko ndoani
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
uko resi sanakwamba inatoa jibu gani?
ni kufukuza tu kama wana wanavyosemaUnaweza kumuoa huyo mdada kwa kigezo kwamba ana bikra ila ukaja chapiwa vilevile huko ndoani
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Braza una maoni gani sangomaš¤Aiseeeeh!