Wanaumia kuona timu yao inaongozwa na makanjanja[emoji23]Asilimia kubwa ya viongozi wa zamani wa makolo wana mapenzi na timu basi tu wakati wa uongozi wao hawakua na financial muscles pamoja na connection/Information kama sasa hivi. Wanaumia sana kwa hiki wanachoona kinaendelea ndio maana yanawatoka maneno yote hayo.
Umeambiwa ni kiongozi wa zamani, na pengine amejaribu sana kutoa ushauri kwa uongozi uliopo ila hasikilizwi, kwa hiyo hana pa kusemea kama shabiki mwingine wa kawaida.Sasa kiongozi analalamika na sisi mashabiki tunalalamika
Hapa.hakuna timu ni genge la wanywa kahawa
😆🤣 Pale Mwana Jangwani Tate Mkuu anapoongea kama Chui anayesimama kutetea maslahi ya digidigi.Timu yetu ya Simba ingekuwa na viongozi aina ya Mwina Kaduguda na Mzee Kilomoni, hakika tusingekuwa tunashiriki haya mashindano ya Ligi ya Mabingwa huku tukiwa siyo Mabingwa kwenye nchi yetu!
[emoji23][emoji23]Hizi kelele zitaongezeka tukitolewa na Al Ahly na kushika nafasi ya pili au ya 3 kwenye msimamo.
Zitajifia kifo cha mende iwapo mambo yatakuwa tofauti na niliyosema hapo juu.