Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,874
- 2,203
Makusu huyu mchezaji natamani sana siku moja acheze Simba,japo mzigo wake wa ATM aliposajiliwa kiafrica africa unatisha.Sijamuona akicheza, ila yule jean makusu hatari wangemfikiria pia.
Si nasikia orlando wana mpango wa kumuacha.Makusu huyu mchezaji natamani sana siku moja acheze Simba,japo mzigo wake wa ATM aliposajiliwa kiafrica africa unatisha.
Hata hapa bongo wakishindwa Simba wakienda timu zingine wanakua wakaliWachezaji wengi wanaoshindwa kucheza kwenye matimu makubwa kama Olando wakija Bongo wanaheshimika sana kwa vile Ligi yetu haina ubora
Mwambie huyo[emoji23][emoji23]Hata hapa bongo wakishindwa Simba wakienda timu zingine wanakua wakali
Yap majeraha yamepunguza kiwango cha huyu mwamba.Si nasikia orlando wana mpango wa kumuacha.
Hata miqueson walimuona hafai, ila kaja bongo na alipokutana na kocha wake wa zamani akamkata shanga taifa paleWachezaji wengi wanaoshindwa kucheza kwenye matimu makubwa kama Olando wakija Bongo wanaheshimika sana kwa vile Ligi yetu haina ubora
Injuries ni adui mkubwa saana kwa wachezaji.Yap majeraha yamepunguza kiwango cha huyu mwamba.
Sana tena,hata mugalu huyu ni tofauti na yule wa kabla ya majeraha alipokua Zambia akisakata kabumbu.Injuries ni adui mkubwa saana kwa wachezaji.
Acha kukariri ivi kwa akili yako hiyo Orlando pirates na simba ipi timu kubwa kwa sasa?Wachezaji wengi wanaoshindwa kucheza kwenye matimu makubwa kama Olando wakija Bongo wanaheshimika sana kwa vile Ligi yetu haina ubora
Mpira hauko hivyo, sanchez katoka arsenal wa moto kaenda kuwa mashuzi tu manchester,mifano ipo kede kede.. Torres alitoka liver wa motooo, chelsea akenda kuwa baridiiii..Wachezaji wengi wanaoshindwa kucheza kwenye matimu makubwa kama Olando wakija Bongo wanaheshimika sana kwa vile Ligi yetu haina ubora
wala usihangaike nao hao ingia you tube mcheki jamaa anaitwa moses phiri hata chipolopolo yuko ndani ndo anakuja huyo, attacking mido la ukweli skills mahala pake goals anafunga kwa sasa ana goals 13 huko kwaoMpira hauko hivyo, sanchez katoka arsenal wa moto kaenda kuwa mashuzi tu manchester,mifano ipo kede kede.. Torres alitoka liver wa motooo, chelsea akenda kuwa baridiiii..
Haya mambo yanachangiwa na vitu vingi mnoo, moja wapo ni kocha, mchezaji anaweza kuwa popoma kwa malimu huyu, ila akija mwingine anakuwa moyo balaa.. Wakina victor moses chini ya conte
SASA WEWE HAUTAKI?Weweeeeeeeee kesho kutwa halland atatamani acheze simba