Kotei aende wapi mkuu. Gyan na Haruna ndiyo sawa,Hapo,
Haruna Niyonzima,
Nicolas Gyan
James Ketoi
inabidi walipwe chao na waondolewe Msimbazi.
Halafu yatafutwe majembe mengine matatu ya kigeni katika nafasi ya Ushambuliaji.
Yaana yatafutwe majembe ya uhakika.
Hata likipatikana kwanza Jembe moja au mawili sio mbaya.
Mikia bana na Sembo huyu ni aibu.Baada ya kumpa 5 Ndg. Masua Bwire jana, Usiku mzima nilikua nawaza, dirisha dogo la usajili la TPL linafungiliwa wiki kadhaa zijazo.. Je ni mchezaji gani Simba SC tumsajiri toka hizi timu za hapa Bongo??
1. Golikipa:
Kwa sasa Simba SC ina magolikipa bora kabisa nchini, Manula na Dida. Kwa kifupi tuna Tanzania 1 na Tanzania 2. Hapo sijamtaja golikipa bora wa michuano migumu barani Africa, ukiacha AFCON ambayo ni CECAFA.
2. Beki:
Beki ya Simba SC imesheheni vilivyo.. kuna vijana kuna wakongwe. Mfano akiumia kwasi kuna tshabalala, akiumia nyoni kuna juuko, akiumia wawa kuna mlipili, kuna kapombe n.k. Wachambuzi wa soka pamoja na Alex Kitenge wanakiri kua Simba SC ina beki imara zaidi nchini.
3. Viungo:
Hapa ndipo Mnyama alipotakata. Kuna kila aina ya kiungo unayemjua wewe dunia hii, na wote ni mafundi haswaaa. Mpaka sasa kuna viungo hawajatumika ipasavyo, ambapo naona kama wakienda mtaa wa 2 wanaingia moja kwa moja katika kikosi chao cha kwanza.
4. Ushambuliaji:
Package iliyopo huku ni balaa tupu. Kuna Okwi, MK14, Kichuya, Salamba, Bocco n.k Kwa kifupu Bongo hii hakuna mshambuliaji toka timu pinzani atakayethubutu kukaa hata benchi.
Sasa nadiriki kusema kabla dirisha dogo la usajili halijafunguliwa.. Si tushalifunga.
Tunasubiri kuwafahamu mabingwa wa CAF Confederation Cup na CAF Champions League, ili tuweze kusajili wachezaji toka hizo timu.. Hela si tunazo.. Hahaha.
Kotei mtoe kwenye list yako... Ni nguvu kazi ya maana sanaHapo,
Haruna Niyonzima,
Nicolas Gyan
James Ketoi
inabidi walipwe chao na waondolewe Msimbazi.
Halafu yatafutwe majembe mengine matatu ya kigeni katika nafasi ya Ushambuliaji.
Yaana yatafutwe majembe ya uhakika.
Hata likipatikana kwanza Jembe moja au mawili sio mbaya.
Naunga mkono hojaHapo,

Usinipe mpaka kwanza uniambie "staium" ndo nini?Ndo mpango uliopo Mkuu, tunataka kuanzia mzunguko wa 2 wa ligi, Taifa Staium yote iwe inapendezeshwa na rangi nyekundu na nyeupe.
Vipi tukupe kadi?
Mwenye pesa ni Mo Dewji na wala siyo Simba, mlivyo washamba mpaka mnajipachika eti nyinyi ndio wasemaji wa familia ya Dewji, hivi tangu lini mzaramo fukara awe msemaji wa muhindi Billionare?Baada ya kumpa 5 Ndg. Masua Bwire jana, Usiku mzima nilikua nawaza, dirisha dogo la usajili la TPL linafungiliwa wiki kadhaa zijazo.. Je ni mchezaji gani Simba SC tumsajiri toka hizi timu za hapa Bongo??
1. Golikipa:
Kwa sasa Simba SC ina magolikipa bora kabisa nchini, Manula na Dida. Kwa kifupi tuna Tanzania 1 na Tanzania 2. Hapo sijamtaja golikipa bora wa michuano migumu barani Africa, ukiacha AFCON ambayo ni CECAFA.
2. Beki:
Beki ya Simba SC imesheheni vilivyo.. kuna vijana kuna wakongwe. Mfano akiumia kwasi kuna tshabalala, akiumia nyoni kuna juuko, akiumia wawa kuna mlipili, kuna kapombe n.k. Wachambuzi wa soka pamoja na Alex Kitenge wanakiri kua Simba SC ina beki imara zaidi nchini.
3. Viungo:
Hapa ndipo Mnyama alipotakata. Kuna kila aina ya kiungo unayemjua wewe dunia hii, na wote ni mafundi haswaaa. Mpaka sasa kuna viungo hawajatumika ipasavyo, ambapo naona kama wakienda mtaa wa 2 wanaingia moja kwa moja katika kikosi chao cha kwanza.
4. Ushambuliaji:
Package iliyopo huku ni balaa tupu. Kuna Okwi, MK14, Kichuya, Salamba, Bocco n.k Kwa kifupu Bongo hii hakuna mshambuliaji toka timu pinzani atakayethubutu kukaa hata benchi.
Sasa nadiriki kusema kabla dirisha dogo la usajili halijafunguliwa.. Si tushalifunga.
Tunasubiri kuwafahamu mabingwa wa CAF Confederation Cup na CAF Champions League, ili tuweze kusajili wachezaji toka hizo timu.. Hela si tunazo.. Hahaha.
Hahahaa, mkuu, mbona unakuwa muongo muongo!??Hahaha.. Samahani Mkuu.. Staium ni lugha inayotumika Korea Kazikazini, maana yake kwa kiswahili ni uwanja wa mpira wa miguu.
Msimamo wa ligi ukoje?Kwa sasa Simba raha sana.
Hili swali gumu sana kwa sembo na watu wakeMsimamo wa ligi ukoje?