INAUZWA Kabati portable

Naomba unitumie picha Whatsap halafu tufanye business nitumie picha tofauti tofauti kuna jambo nataka tulonge 0763772636 Whatsap only
 
Nina hamsini mkuu.
 
Hapa kwenye mchoro liko vizuri.....ila ki uhalisia ukipanga vitu kama picha inavyoelekeza ni utadumu nalo kwa wiki kadhaa tu..
 
Bado unazo hizi kabati
 
hahahaha hakuna kabati hapo hadi leo vyuma watoto wanachezea lilidumu mwezi mmoja tu.

jamaa yangu alijitahidi likakaa mwaka ila likaoza icho kitambaa chake.

Cha ajabu sasa mi kabla sijanunua niliwahi kuliona kwa mshkaji anatumia, tena alidumu nalo tu na alikuwa akihama chumba anapangua na kulipanga upya fresh tu.

Kilichonikuta mimi, kwanza ile kuliseti sijui kama nilipatia... na mbaya zaidi ilikuwa chumba cha watoto yaani kila siku linaporomoka!
 
hahahaha mie nilikuwa nikiweka mzigo naona unashuka nalo mara lipinde (bend) flan yaani balaa tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…