DullyJr JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 13,993 Reaction score 11,879 Jun 18, 2019 #21 igwee frm anambra said: Timu za Tanzania mara nyingi 1st eleven line up yake anapanga mganga toka bagamoyo au Zanzibar ..... ukiwa muislamu au mkristo safi unayejitambua huwezi kucheza mpira bongo. # mwisho wa kunukuu. Click to expand... umemnukuu nan?
igwee frm anambra said: Timu za Tanzania mara nyingi 1st eleven line up yake anapanga mganga toka bagamoyo au Zanzibar ..... ukiwa muislamu au mkristo safi unayejitambua huwezi kucheza mpira bongo. # mwisho wa kunukuu. Click to expand... umemnukuu nan?
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,869 Reaction score 29,059 Jun 18, 2019 #22 Sababu simba ni mbumbubu
thisdayes JF-Expert Member Joined Oct 28, 2016 Posts 3,610 Reaction score 4,557 Jun 18, 2019 #23 Twamo said: Wanamchezesha yule 'mzee' Wawa wanamwacha kijana mpambanaji kama Juuko! Aje kwetu acheze pacha na 'cotton'! Click to expand... Tatizo mshahara atapata tarehe 45
Twamo said: Wanamchezesha yule 'mzee' Wawa wanamwacha kijana mpambanaji kama Juuko! Aje kwetu acheze pacha na 'cotton'! Click to expand... Tatizo mshahara atapata tarehe 45
Greatest Of All Time Platinum Member Joined Jan 1, 2017 Posts 26,550 Reaction score 62,022 Jun 22, 2019 Thread starter #24 Juuko anapiga kazi hapa kwenye mechi ya Uganda Vs Congo
Greatest Of All Time Platinum Member Joined Jan 1, 2017 Posts 26,550 Reaction score 62,022 Jun 22, 2019 Thread starter #25 Africa Tanzania said: Sasa kama [emoji1254] hakuna beki kama huyo kwann asicheze? Binafsi ningekuwa kocha wa Simba sc ningemtumia Mlipili sana kuliko Juuko! Click to expand... Hujui mpira nenda kashabikie Golf
Africa Tanzania said: Sasa kama [emoji1254] hakuna beki kama huyo kwann asicheze? Binafsi ningekuwa kocha wa Simba sc ningemtumia Mlipili sana kuliko Juuko! Click to expand... Hujui mpira nenda kashabikie Golf
I Ilongailunga JF-Expert Member Joined Jan 18, 2012 Posts 1,388 Reaction score 896 Jun 22, 2019 #26 Hata Okwi alipokua Yanga alikua anakaa bench ila akiwa simba anaanza
msukuma fekero JF-Expert Member Joined Aug 12, 2017 Posts 2,423 Reaction score 3,270 Jun 22, 2019 #27 Ilongailunga said: Hata Okwi alipokua Yanga alikua anakaa bench ila akiwa simba anaanza Click to expand... Acha urongo wewe
Ilongailunga said: Hata Okwi alipokua Yanga alikua anakaa bench ila akiwa simba anaanza Click to expand... Acha urongo wewe