Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,283
- 33,881
Wa kupulizaMzee wa kulia Lia na mfumo Kristo.
Suel...Mzee wetu Mohamed Said, je umetafakari kuandika historia ya Dar es Salaam, kutokana na kumbukumbu zako? Yaweza kuwa hazina kwa wengi.
Simulizi nzuri sana, ila nime zoom picha, sijaziona ngazi.JUMBA LA USHIRIKA UKILITAZAMA KUTOKA MTAA WA LIVINGSTONE 1960s
Nikiangalia hii picha inanikumbusha mbali mwaka wa 1964
Hebu angalia hapa:we mzee hizo attachment umeweka hazifunguki
Hebu angalia hapa:View attachment 2111448View attachment 2111449
wako wapi?Kulia ni Bi. Mruguru bint Mussa mama yao Abdulwahid, Ally na Abbas Sykes
Jem...Simulizi nzuri sana, ila nime zoom picha, sijaziona ngazi.
Je jengo halikuwa na uzio hadi nyie watoto wa Uswahilini mlifanye playing ground?
Halafu watoto wa Kiswahili lazi.a wachafue jengo ndio waone raha. Huku kaka na dada zao wakiligeuza sehemu ya kukutana kimwili
Don...wako wapi?
Kwanini siyo Arabuni sheikh?Nawaambia mkitaka niandike nitafutieni mahali Ulaya au Marekani kwenye chuo.
Ni kweli kabisa jumba hilo lilikuwa la benki ya Ushirika. Vile vile tuongezee kwamba hapo ndipo Chuo Kikuu cha DSM kilipoanzia mwaka 1961 kikiwa na Kitivo kimoja tu cha Sheria.JUMBA LA USHIRIKA UKILITAZAMA KUTOKA MTAA WA LIVINGSTONE 1960s
Nikiangalia hii picha inanikumbusha mbali mwaka wa 1964...
Kwenye picha hii ngazi zimeonekana kwa uzuri sana.Jem...
Angalia kulia pembeni kuna ngazi.
Nakupa pole mama yangu kwa akili yako kukufikisha huko ulikofika.
...
Wa kupuliza,[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Maneno meeeeeeeeeeeeeeeengi
Mkaruka,Kwanini siyo Arabuni sheikh?
Anyway, ilikuwaje Nyerere akaandika barua kwa unyenyekevu kwenda kwa Bi. Mruguru kumwomba nyumba yake ibomolewe na kumlipa fidia wakati angekubomoa tena kwa ukali nyumba ya huyu Ustaadhat bila fidia yoyote.
Huyu mchonga siku hiyo alipatwa na Nini sheikh [emoji3]
Wa kupuliza,Tuweke ushahidi khs Hilo ulilolisema maana mtu yoyote anaweza kuandika hayo uliyo yaandika.
🤔🤔🤔 mzee wetu kwa nini unapenda Marekani au Ulaya badala ya Saudi Arabia au Iran, Oman?Suel...
Nimechoka nakimbilia miaka 70.
Kukaa kitako kuandika kunanitisha.
Jamaa zangu wengi wananiwekea shinikizo kuhusu hili.
Nawaambia mkitaka niandike nitafutieni mahali Ulaya au Marekani kwenye chuo.
Jemi...Kwenye picha hii ngazi zimeonekana kwa uzuri sana.
View attachment 2111469
Sasa hiki kizazi cha kunajisi majengo ya watu kwa haja kubwa na ndogo kilitokea wapi?
Lib...[emoji848][emoji848][emoji848] mzee wetu kwa nini unapenda Marekani au Ulaya badala ya Saudi Arabia au Iran, Oman?
Ng'w...Ni kweli kabisa jumba hilo lilikuwa la benki ya Ushirika. Vile vile tuongezee kwamba hapo ndipo Chuo Kikuu cha DSM kilipoanzia mwaka 1961 kikiwa na Kitivo kimoja tu cha Sheria. Watu kama Prof. Shivji na Prof. Kanywanyi ndipo walipoanzia kusomea. Ujenzi wa Chuo ulipokamilika huko Ubungo (Mlimani) ndipo Chuo Kikuu kikahamia huko. Baada ya Chuo Kikuu kuhama, jumba hilo lilitumika pia kwa elimu ya watu wazima. Nawafahamu watu kadhaa ambao hawakufika Darasa la 12 katika shule za kawaida. Watu kama hao walikuwa wakienda kujiendeleza hapo hadi kufanya mtihani wa Darasa la 12.