Kwa mujibu wa TBC Taifa Michezo, Julio amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Vice President wa Simba. Amedai Simba imekuwa ikiongozwa na watu wenye uwezo mdogo, yeye anaijua Simba kuliko robo tatu ya wale wanaodai kuijua.
Bila shaka ahadi zake zitakuwa ni:-
1. Nitaifunga Yanga kwani sisi ni bora kuliko wao.
2. Simba itaipokonya Azam FC ubingwa.
3. Nitakuwa kocha msaidizi bure kwa kipindi chote cha uongozi wangu.
4. Sitalipiza kisasi kwa wote wanaonichukia ndani ya Simba.
Ongezeni ahadi nyingine Wakuu.
Wana-Simba mchagueni Julio ili Simba iweke rekodi ya kuwa na VP wa kwanza ambaye ni mbumbumbu. CC. MahaRage.