Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,958
Tunayoyafanya Chadema yangefanywa na CCM tungepiga kelele zifike hadi sayari ya Mars. Tunapenda sana kukosoa mapungufu ya wenzetu lakini tukikosolewa sisi inakuwa Nongwa. Tuache kuishi kinafkiWewe umwanachadema?
Kama muda wa uongozi unaisha na hakuna hatua zozote zinazochukuliwa na chama, basi Katiba yao ina matatizoChadema wanaamini mbowe n mungu ,mpeni tundu lissu au heche