doomedcity
Member
- Apr 8, 2023
- 65
- 144
Habari, kwa muda mrefu nimekua nikitafta nafasi ya kazi hata ya kujitolea katika hospital hapa dar es alaam bila mafaniko.
Elimu yangu ni diploma in medical laboratory science with more than 3 years of job experience.
Naomba mwenye ideas ya kitu chochote productive online hata offline niweze ku perfome ili atleast nipate chochote na nijiweke busy.
Nina internet access almost all the time plus smart phone na pc.
Mnakaribishwa wakuu.
Mchango wako ni muhi
Wapatikana wapiHabari, kwa muda mrefu nimekua nikitafta nafasi ya kazi hata ya kujitolea katika hospital hapa dar es alaam bila mafaniko.
Elimu yangu ni diploma in medical laboratory science with more than 3 years of job experience.
Naomba mwenye ideas ya kitu chochote productive online hata offline niweze ku perfome ili atleast nipate chochote na nijiweke busy.
Nina internet access almost all the time plus smart phone na pc.
Mnakaribishwa wakuu.
Mchango wako ni muhimu sana.
Analimaje online?Kalime mzee. Mpunga kwa sasa 120K kwa gunia.
Kuna mambo nakuwa sielewi๐Ilaw wewe
Ingia Ilala boma au Karume km una 50k nenda asubuhi sana saa 10/11 upo pale kapoint raba za 5000/7000 mpaka 8000 zinakua Kali mtumba Grade A, ukishachukua Raba zako kadhaa uza online kuanzia 10,000, 12,000, 15,000 mpaka 20,000 itategemea na quality ya Raba hapo utarudisha pesa yako na faida juu, always mwanzo mgumu Ila mafanikio yoyote yanahitaji muda na nafasiHabari, kwa muda mrefu nimekua nikitafta nafasi ya kazi hata ya kujitolea katika hospital hapa dar es alaam bila mafaniko.
Elimu yangu ni diploma in medical laboratory science with more than 3 years of job experience.
Naomba mwenye ideas ya kitu chochote productive online hata offline niweze ku perfome ili atleast nipate chochote na nijiweke busy.
Nina internet access almost all the time plus smart phone na pc.
Mnakaribishwa wakuu.
Mchango wako ni muhimu sana.
Kama unaitaka mali,utaipata shambani...wewe umekalia kulialia humu unataka hela za kuokota,maisha hayakupi nafasi hyo na utasota sana..
1.Alikiba analima!!
2.Millard ayo analima!!
3.Hussein bashe analima!!
4.Hamisi kigwangala analima!!
5.Mimi MAWEED na degree zangu nalima!!.
wewe na kadiploma kako unataka kazi lainilaini,unaakili timamu.
Mzee mwenzangu mshamba_hachekwi mshauri kijana anapotea huyu
Dar mkuuWapatikana wapi
Ongezea nyama mkuu tupate elimu๐๐Jaribu kua content creator, inalipa sana
tumia google, nikisema nielezee sitomalizaOngezea nyama mkuu tupate elimu๐๐
Sawa mkuu ๐๐tumia google, nikisema nielezee sitomaliza