Tegemea kuulizwa swali lifuatalo kwenye usahili kulingana na hiyo cv.Good morning, I'm here on behalf of Kefas,
He's 27 years old, studied up to form Six. looking for a job.
SKILLS
Driving
Microsoft Office
Speak and write in fluent English
EXPERIENCE
sales manager at Manows Company August 2016- February 2017
Supervisor at Manows company March 2017- August 2018
STRENGTHS
Adaptability
Team work
Creativity
Conflicts resolution
WEAKNESSES
Multtask
Allow emotions to show
LOCATION
Reside in Dar es salaam
Willing to work any region in Tanzania
CONTACTS
0676868660
ππ Bila shida ni Target hapo hizi kazi nazichukia sana asee za Sales tena upate kiwanda cha MUHINDI dah.Tegemea kuulizwa swali lifuatalo kwenye usahili kulingana na hiyo cv.
Why he dropped from Sales Manager to Supervisor in the same company?
Mimi mwenyewe kwenye kazi zote za sales/marketing zinanishindaBila shida ni Target hapo hizi kazi nazichukia sana asee za Sales tena upate kiwanda cha MUHINDI dah.
Wahindi wajinga sana kuna kiwanda kikubwa sana hapa Tz kipo ARUSHA kile cha kalalia babu na bibi walikuwa wanamlipa Mshikaji wangu 350,000 na alikuwa Dept ya Accounts bado wakamuongezea majukumu ya Sales Supervisor kwa kumuongezea mshahara wa 50,000 ko jumla 400kππ jamaa wanatuonaje sijui kama huna moyo hufanyi kazi nao bora hata Halmashauri kuliko Wahindi.Mimi mwenyewe kwenye kazi zote za sales/marketing zinanishinda
Wahindi wajinga sana kuna kiwanda kikubwa sana hapa Tz kipo ARUSHA kile cha kalalia babu na bibi walikuwa wanamlipa Mshikaji wangu 350,000 na alikuwa Dept ya Accounts bado wakamuongezea majukumu ya Sales Supervisor kwa kumuongezea mshahara wa 50,000 ko jumla 400kjamaa wanatuonaje sijui kama huna moyo hufanyi kazi nao bora hata Halmashauri kuliko Wahindi.
Yeah Ovyo sana Hao wangekupa u manager huku wanakulipa 500kHao wahindi kumbe ndio walivyo,Kuna siku waliniita Interview nikaenda waliponiuliza kuhusu mshahara nikawaambia nahitaji milioni 4 wakaduwaa sana.
Baadae nikaondoka Hadi leo hawakuniita.
Wanafikiri watanzania wote ni vilaza.
HahaYeah Ovyo sana Hao wangekupa u manager huku wanakulipa 500k
Huku Wanaingiza hadi 3.5B kwa miezi mitatu ya mwisho wa mwaka wajinga sana hawa.
Yaani interview za Wahindi nilishagonga sana Ukitaja tu mshahara juu ya laki 6 utasikia sawa tutakutaarifu baada ya siku chachesijui wanaambizana waswahili wote wanapenda kulipwa 300k hadi 500k.
Ila hii njia ni hatari mkuuKufanya kazi na wahindi raha sana tatizo hamuwajulii hata kidogo, wahindi wengi hawafuati sheria na wana kona nyingi sana, mi nafanya nao kazi kwa 400k lakin natengeneza zaidi ya hiyo. Kupitia magumashi yao nna askari wangu nampigia simu anakuja wakishikwa rushwa wanatoa hata 10m wasiende polisi kwa hyo tunagawana na askari siku zinaenda. Muhindi hutoboi kwake bila kumuibia