Yaani namaanisha jengo gani au mtaa gani ambapo ofisi zinaonekana ndio Yale Yale ya kampuni za waswahili anaajili watu huku hajajipanga na kampuni ni mpya hatekelezi sheria ni taabu tupu na sisi watafuta ajira kaxi IPO ila huyu muhuni tangazo limekaa kitapeli tapeli halijafunguka kueleza kwa kina taarifa za kujitoshereza OK mtaoomba tutaomba mtupe mrejesho