Rais Jakaya Kikwete akifurahia kumwona mgeni wake, Rais mstaafu wa Marekani, Bill Clinton akipanda basi dogo aina ya Toyota Hiace (Kipanya), baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Dar es Salaam jana. Clinton alikuwa nchini kutembelea miradi inayoendeshwa na taasisi yake ya Bill Clinton Foundation. Picha na Emmanuel Herman. - with Florian Sospeter Muchunguzi. Courtesy of Mwananchi