Alipoenda kuvinjari Temeke kata ya Sandali pale wananchi katika shida zao wakamwambia kuwa wanaitaji Zahanati.
Jibu lake ni kuwa serikali haina eneo la kijenga zahanati tena akatania Mwenyekiti wa kata awape kiwanja chake wajenge Zahanati
MY TAKE
Sasa kama raisi hawezi tatua tatizo la zahanati nani atalitatua ilo na ni kwanini aliwaambia wataje shida zao.Wakati pale kilimo kuna shamba kubwa tuu wamepanda minzai na kufuga ngombe angeweza wamegea plot.Watu toka enzi na enzi wanatoka Sandali mpaka hospitali ya temeke kutibiwa.
Kama city centre wameambiawa ivyo je uko Nanjilinji,Ludewa,Kasanga
Naona jibu kama hili halina tofauti na lile la wanafunzi kupata Mimba ni kiherehere chao
Naona kwa hili na mengine JK kuna haja ya apumzike tuu!