MARADHI YOTE YA MOYO
Jiusi ya limau kikombe 1
tangawizi Juisi kiKombe 1
vitunguu Saumu Juice ki Kombe 1
Siki ya Apple (tufaha) ki Kombe 1
Changanya yote hapo juu na Chemsha kwenye joto la chini, Takriban nusu saa, angalia mpaka ibaki vikombe 3, toa jikoni na ipoe iwe baridi.
Baada ya kupoa, hiyo Dawa changanya na vikombe 3 vya Asali ya mbichi na kuitunza katika chupa.
Kila asubuhi kabla ya kifungua kinywa uwe unakunywa hiyo dawa kwa kutumia kijiko kikubwa cha kulia wali kimoja
Sent using
Jamii Forums mobile app