Good Father JF-Expert Member Joined Feb 28, 2014 Posts 10,320 Reaction score 18,595 Mar 20, 2018 #21 Napata wasiwasi na mleta mada. Ngoja nisubiri watu watakaolizwa walete mrejesho
notoriousic JF-Expert Member Joined Oct 14, 2016 Posts 425 Reaction score 484 Mar 21, 2018 #22 jimmyfoxxgongo said: Mkuu mimi nataka sana hiyo unlimited bando ila nataka kwa kuonana na maliponyafanyike baada ya kazi kufanyika face to face Click to expand... Akikujibu nitag na mimi
jimmyfoxxgongo said: Mkuu mimi nataka sana hiyo unlimited bando ila nataka kwa kuonana na maliponyafanyike baada ya kazi kufanyika face to face Click to expand... Akikujibu nitag na mimi
notoriousic JF-Expert Member Joined Oct 14, 2016 Posts 425 Reaction score 484 Mar 21, 2018 #23 kid ink tz said: Ka kwambia nani mm mwizi Click to expand... Unaulizwa maswali ya msingi kabisa unajidai huoni kama sio wizi ni nini??
kid ink tz said: Ka kwambia nani mm mwizi Click to expand... Unaulizwa maswali ya msingi kabisa unajidai huoni kama sio wizi ni nini??
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,027 Mar 21, 2018 #24 Jiunganishie mwenyewe, ingia whatsapp ujipe hiyo huduma mwenyewe kwani wewe hutaki Unlimited Data?
DesertStorm JF-Expert Member Joined Nov 22, 2015 Posts 3,184 Reaction score 2,597 Mar 21, 2018 #25 Muwe mnaleta feedback nasiii....
trojan horse Member Joined Feb 8, 2018 Posts 43 Reaction score 73 Mar 23, 2018 #26 SIOO KILAAA MTUU ANAYEUZAA BANDOO NIMRUSHIEEEEE
kid ink tz JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 307 Reaction score 320 Apr 6, 2018 Thread starter #27 Revola said: Nilishaibiwa 20000 nahii namba Click to expand... Hebu tupia iyo namba na tupe info iyo namba ilikuibiaje Sent from my Infinix NOTE 2 using JamiiForums mobile app
Revola said: Nilishaibiwa 20000 nahii namba Click to expand... Hebu tupia iyo namba na tupe info iyo namba ilikuibiaje Sent from my Infinix NOTE 2 using JamiiForums mobile app
kid ink tz JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 307 Reaction score 320 Apr 6, 2018 Thread starter #28 McDonaldJr said: Sema uko wapi tufanye biashara tukiwa tunaonana uso kwa uso wakati wewe unaunganisha mambo yako mimi nazama kwenye wallet natoa pesa. Dunia ya leo wa kumuamini ni mama ako tu hata baba anaweza kukuingiza chaka. Click to expand... Iringa Sent from my Infinix NOTE 2 using JamiiForums mobile app
McDonaldJr said: Sema uko wapi tufanye biashara tukiwa tunaonana uso kwa uso wakati wewe unaunganisha mambo yako mimi nazama kwenye wallet natoa pesa. Dunia ya leo wa kumuamini ni mama ako tu hata baba anaweza kukuingiza chaka. Click to expand... Iringa Sent from my Infinix NOTE 2 using JamiiForums mobile app