Inawaka masaa mangap kbla ya kupungua..imean umri wake
Zinatumia umeme wa tanesco au sola? Vipi bei ya jumla zinaendaje.Hizi ni bulbs zenye uwezo wa kujizima zenyewe pindi panapokuwa hakuna mtu katika eneo hilo.
Taa itawaka tu kama kuna movement yoyote ya Mtu, kama hakuna movement ya mtu Taa itazima.
Pia taa hii inawaka usiku tu pindi ikiona giza Ila ikiwa mchana au kukipambazuka itazima automatically.
Taa hizi zinafaa Sana maeneo ya jikoni, barazani, korido, chooni, bafuni, dinning na maeneo mengine.
Tsh.12,000/=
Karibu tukuhudumie.
Nicheck 0713751560
View attachment 1321952
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakujipanga kwa maelezo naona kaenda kuuliza
Zinatumia umeme wa tanesco au sola? Vipi bei ya jumla zinaendaje.
Kuna za watts kubwa kwa ajili ya getini?