Elias Frank
Member
- Jan 22, 2018
- 11
- 6
Litakua bati la msauzi hilo.Huyo manzi apo nae ni bati ?
Litakua bati la msauzi hilo.
Manzi yupi MkuuHuyo manzi apo nae ni bati ?
Kiukweli Mkuuu Nyumba nyingi zilizo Ukanda wa.bahari bati hua zinapauka mapema zaid kutokana na ukungu ule ulio na chumvi chumvi .Na Ni campuni ZOTE ALAF,DRAGON,SUNSHINEMkuu ulizo kidogo...
Mimi nawekeza sehemu moja pembezoni mwa bahari.
Vipi uboro wa mabatu yenu na upepo wa chumvi.... Ujenzi mwa kanda za bahari?
Je ayashiki kutu kwa urahisi?
Thanks for advice.Kiukweli Mkuuu Nyumba nyingi zilizo Ukanda wa.bahari bati hua zinapauka mapema zaid kutokana na ukungu ule ulio na chumvi chumvi .Na Ni campuni ZOTE ALAF,DRAGON,SUNSHINE
ILA SASA CHAKUANGALIA NI LIPI LINA LAST LONGER KULIKO LINGINE NA NDIO MAANA SISI TUMEJITAHID KUWEKA UJAZO MZURI WA INCRIDIENTS KWENYE BATI ZETU KWA AJILI YA KUPAMBANA NA HIYO CHANGAMOTO